Jay Gatsby
JF-Expert Member
- Jul 28, 2017
- 697
- 928
Mbona hii game ya leeds ni kama walipanga matokeo, naona baada ya leeds kufunga wachezaji wa aston villa wamemkaba mfungaji...
Halafu na wao pia, leeds naona hawakaba kabisa wakafungwa...
Hii mechi majamaa walibet iwe draw nini...
View attachment 1083455
Soma tulichoandika hapo juu utaelewa!