Jay Gatsby
JF-Expert Member
- Jul 28, 2017
- 697
- 928
Mbona hii game ya leeds ni kama walipanga matokeo, naona baada ya leeds kufunga wachezaji wa aston villa wamemkaba mfungaji...
Halafu na wao pia, leeds naona hawakaba kabisa wakafungwa...
Hii mechi majamaa walibet iwe draw nini...
View attachment 1083455
Ndio nimesoma hapo juu mkuu...Soma tulichoandika hapo juu utaelewa!
Wee kibokoGame ya Man City haiwezi kufika goli 2
Piga bet wana hadi politicsView attachment 10834951xbet ni noma, wana option hadi ya utabiri wa hali ya hewa. Ngoja nijilipue na hiyo ya KIA na jomokenyatta over
Mkuu acha kabisacome on united au hata Chelsea wafunge basi niokoe mkeka mmoja
Hata kule zipo nyingi tu, hii ya weather ndio imenishangaza zaidiPiga bet wana hadi politics
hii draw imepita na mikeka yangu miwili direct win na double chance acha niwe mpenzi mtazamaji bayern naona wanaserebuka tu hukoMkuu acha kabisa
Yani mimi draw zinaongoza kuchana mikeka yangu
😝😝😝😝 Kesho usibet utaumia zaidi bet J4hii draw imepita na mikeka yangu miwili direct win na double chance acha niwe mpenzi mtazamaji bayern naona wanaserebuka tu huko
kabisa mkuu yani goli moja tu kutoka kwa yoyote united ama Chelsea wamenibania pesa[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Kesho usibet utaumia zaidi bet J4
njoo inbox nikufundishe jins ya kutumia mobile payment ila jiandae na bukuMwenye maelezo namna ya kudeposit 1*bet kwa njia ya MYBUX naomba aniPM maake naona hayajawekwa hadharani kwa sabbu.
Duh! siamini aisee eti Bayern anaelekea kutoa droo..
Pole MkuuLeo namuua chesi kwa laki7 nirufishe pesa zangu liwalo na liwe
njoo inbox nikufundishe jins ya kutumia mobile payment ila jiandae na buku