njoo inbox nikufundishe jins ya kutumia mobile payment ila jiandae na buku
Mwenye maelezo namna ya kudeposit 1*bet kwa njia ya MYBUX naomba aniPM maake naona hayajawekwa hadharani kwa sabbu.
Kwann usieleze hapa?Tuma NAOMBA yako in box nikutumie fulu maelezo
na ki odd chake cha 1.09Duh! siamini aisee eti Bayern anaelekea kutoa droo..
Wakati mwingine hii kazi huwa ngumu kiasi cha kukosa maelezo ya ugumu wake.Na alikuwa afungwe kabisa jamaa wamekosa Penalty dakika ya 90
Hadi inatia hasira mkuu..na ki odd chake cha 1.09
Hizi odd Mimi nazipita sichezi kabisa maana najua asilimia kubwa ni sare au kichapoHadi inatia hasira mkuu..
Meridian wana maudhiii
Toaka asubuhi imegoma kabisaaView attachment 1083241
buku ya mimi mwalimuMkuu buku kwa akili ya nn?