Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tuone wapi mkuu
Ulikuwa wapi wakati natuma free tips jana

Angalia hapo chini
Screenshot_20190430-125633.jpeg
 
Jana voda walisema hela ipo hewani haija enda mlipa

Mwigine akasema hela itarudi ndani ya masaa 24

Leo voda wamesema hela imeenda mlipa na sms ya muamala nimepata ila voucher code hamna

Nimewasiliana na mtu wa mlipa kanimbia nimtumie sms ya muhamala ila hadi sasa ivi hamna feedback

Nimewasiliana na my bux wamesema wana shugulikia
Nipe mawasiliano ya hao mybux mkuu.
 
Back
Top Bottom