Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mmh
Screenshot_20190501-155808.jpeg
 
FREE TIPS 1 MAY 2019

KWA WALIOFUATA JANA WAMEPATA

HII FREE, UKITAKA ZAIDI KWA 5000 TU MWEZI MZIMA NAKUTUMIA
1556716362-picsay.jpeg
 
Betting ni ubahatishaji tu ,hakuna mtu anae jua matokeo halisi,wauza tips kawauzieni bibi zenu tu ,kama leo barca na liver hakuna anae jua hapo ni ninj kitatokea,hapo ni kurusha shilligi juu tu itakae mdondokea unampa otherwise hakuna wa kukudanganya mana hata wachezaji wenyewe hawajui nani atashinda.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata biashara zingine ni ubahatishaji tu, kwani ukifungua duka una uhakika wateja watakuja kwako? Ndo maana unafanya analysis au unafanyiwa analysis na watu wanaofahamu kutoa feasibility report unawalipa wanakwambia kama hili eneo lina uhitaji au la. Mara nyingi wanakuwa sahihi ila pia huwa wanakosea au hawapatii kama inavyotakiwa. Kwenye mpira ni hivyo hivyo, kuna watu wanafanya analysis mpaka wanakwambia kwa kikosi hiki leo lazima muda wa ziada uongezwe si chini ya dk 5. maana hichi kikosi wana historia ya kupoteza mda na kweli unashangaa dk 6 au anakosea kidogo 4 zinaongezwa. Tofauti ya gambling na betting ni kwamba betting mnaweza mfilisi mwekezaji kama wote mtapata ila gambling mnanyang'anyana hela mwekezaji yupo salama.
 
Back
Top Bottom