Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Humu pasapoteza mvuto aisee yaani pipo zinauza odds kama fb
Nakubaliana na wewe 100%
Limegeuka jukwaa la kujipatia kipato toka kwa wakamalia badala ya bookies
Mambo ya jf na WhatsApp wapi na wapi,
Hakuna tofauti yoyote na fb au magroup ya WhatsApp ya wauza odd
Kama una tips tupia kiroho safi tu haya mambo yenu ya changia sijui lipia sio mahala pake hapa
Hapa tuna share na sio kuchangishana kwenda kununua odd
 
Mkuu kuwa mpole
Hapa tunakwenda sawa tu, tips mbona zinashushwa sana
Haija haribika kitu hapa
 
dah Pdidy ameshaingiwa na tamaa...naona ameamua kutafuta Plan B kutoka kwa wavimba macho wenzake

Huu usemi naukubali sana 'Ukiona unaitiwa fursa ujue wewe ndio fursa yenyewe'
 
Dah! Leo nimeamua kutafta odds kidogo angalau nipate mtaji lakini bahati haikuwa upande wangu
1085715
1085717
 
TUMEANZA NA MOLA TUNAMALIZIA NA AIHABA TUKIAUBIRIA ZINGINE KARIBU UCHANGIE TUENDELEE KUMPIGA MHINDI
WHATSUP +255713458722
IMG-20190501-WA0072.jpg
Screenshot_20190501-204957.png
Screenshot_20190501-204948.png
Screenshot_20190501-204942.png
Screenshot_20190501-204937.png
Screenshot_20190501-204931.png
 
mpira unamatokeo ya ajabu sana aiseee hii mechi nilijiakikishia ushindi kbsa.
 
Attachments

  • untitled.PNG
    untitled.PNG
    124.2 KB · Views: 24
Bonus amount kwenye 1XBet tunaitumiaje? MyBux wa South Africa wameokoa jahazi kulinganisha na kutumia Safari com line.
2019-05-01_21-13-10 (2).png
 
Back
Top Bottom