Ulikuwa wapi wakati natuma free tips janaTuone wapi mkuu
Sure weka pesa yoteUshauri wadau nataka nikakuze mtajiView attachment 1085365
Huko sijawahi labda unipe somo kidogo mkuuAchana na hao washamba tafuta Volleyball huko unapiga hela kiroho safi
Kwahyo umempiga ngapi?
Sawa mkuuHuko sijawahi labda unipe somo kidogo mkuu
Nipe mawasiliano ya hao mybux mkuu.Jana voda walisema hela ipo hewani haija enda mlipa
Mwigine akasema hela itarudi ndani ya masaa 24
Leo voda wamesema hela imeenda mlipa na sms ya muamala nimepata ila voucher code hamna
Nimewasiliana na mtu wa mlipa kanimbia nimtumie sms ya muhamala ila hadi sasa ivi hamna feedback
Nimewasiliana na my bux wamesema wana shugulikia
Total odd 71.99Kwahyo umempiga ngapi?
Nimewacheki fb nao wamenipa option ya ku resend voucher ila sijaipata tenaNipe mawasiliano ya hao mybux mkuu.
Total odd 71.99
Niliweka 10000
Nilipata 719900
Kodi. 143980
Kiasi kilichobaki
575920tsh
Kati ya mybux na bitcoin ipi ina makato mengi [emoji848][emoji848]?
Bitcoin ina makato sana tena sana my bux makato yke ni kwmy kuweka tu ukitoa inatoka km ilivyoKati ya mybux na bitcoin ipi ina makato mengi [emoji848][emoji848]?
Bitcoin ina makato sana tena sana my bux makato yke ni kwmy kuweka tu ukitoa inatoka km ilivyo
Tuma za Leo mkuuUmeona jana nilivyo mnyoosha Huyo Sport pesa,
Mpaka nywele za makalio nimenyonyoa
Mkuu vipi hapa,nashindwa kupata reference no ili nilipe,Unafanyaje hapa!?Bitcoin ina makato sana tena sana my bux makato yke ni kwmy kuweka tu ukitoa inatoka km ilivyo
Namba ya simu umeandika malizia complete payment sms itakuja kwny cmu ykoMkuu vipi hapa,nashindwa kupata reference no ili nilipe,Unafanyaje hapa!?View attachment 1085536
Bonyeza hapo palipoandikwa complete paymentMkuu vipi hapa,nashindwa kupata reference no ili nilipe,Unafanyaje hapa!?View attachment 1085536
Check katika Simu yako Kama Kuna ujumbe umeingiaMkuu vipi hapa,nashindwa kupata reference no ili nilipe,Unafanyaje hapa!?View attachment 1085536
Juve anakuharibia mapemaaaHuu mkeka vipi wadau
View attachment 1085342
MyBux link yao hii https://www.mybux.co.za/mybux/1xbet mna deposit kwa njia gani....? Wazeee