Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,750
Hahahaha nipe tips sasa inbox nimkalishe mserbia[emoji85][emoji85][emoji85]
Hahahah jamani nafatilia tu
Mserbia ndio yupi?Hahahaha nipe tips sasa inbox nimkalishe mserbia
Nakubaliana na wewe 100%Humu pasapoteza mvuto aisee yaani pipo zinauza odds kama fb
Mkuu kuwa mpoleNakubaliana na wewe 100%
Limegeuka jukwaa la kujipatia kipato toka kwa wakamalia badala ya bookies
Mambo ya jf na WhatsApp wapi na wapi,
Hakuna tofauti yoyote na fb au magroup ya WhatsApp ya wauza odd
Kama una tips tupia kiroho safi tu haya mambo yenu ya changia sijui lipia sio mahala pake hapa
Hapa tuna share na sio kuchangishana kwenda kununua odd
GG mkuuWakuu muko na maoni gani kuhusu hii game ya Baca na Liva?
Is it safe kumpa direct win Baca?
Umeenda kinamna gani elezea tukuelekeze1xbet kutoa mybus aliyefanikiwa
Nimefanikiwa lakini Bado sijapokea kwenye m pesaUmeenda kinamna gani elezea tukuelekeze
Lini? Waandikie e-mail pia nenda FB waulize then utawekewa dau lako.Nimefanikiwa lakini Bado sijapokea kwenye m pesa