Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
TOTAL GOALS BARCA -3 FT
4 ODDS
FIR RISKTAKER
TOTAL GOALS BARCA -3 FT
4 ODDS
FIR RISKTAKER
3 bila majibu hakuna cha GG wala nini mbabe wa England kachana mikeka ya watu balaa.
Niliwaambia watu mapema Sana tmu za Spain zikishafka semi - final zinakuwaga hatar Sana hata Kama n mbovu kiasi gan watu wakaanza kuniambia sjui Nina mahaba sjui Nini. Mimi nawajua Spain Sana kwenye suala la uefa wako vzur hujapata kuona.NARUDIA TENA MWWNGE HAUVUKI KIJIJI kweli Barca n mbovu lak syo kwa tmu za England labda wakatolewe na ajax lakn syo tmu za England never on Earth3 bila majibu hakuna cha GG wala nini mbabe wa England kachana mikeka ya watu balaa.
Tamaa mbaya
Kwangu mikeka yote zimeniacha kapaSawa 1xbet wameanza link kuchelewesha hela? Milicheza mikeka minne 1 lost 2 wamecash 1 bado na wenzangu huko vipi
Kivp mkuuSawa 1xbet wameanza link kuchelewesha hela? Milicheza mikeka minne 1 lost 2 wamecash 1 bado na wenzangu huko vipi
Msaada gan unataka mkuuNdugu zangu naombeni msaada nami niweze kunufaika na hii kazi yetu
Kuhusu app za kufanyia analysis match kabla ya kubet na mbinu za kushinda mkuu wanguMsaada gan unataka mkuu
Kuhusu app za kufanyia analysis match kabla ya kubet na mbinu za kushinda mkuu wangu
Dogo inaonekana hela yako ya mawazo sana Bet hutaiweza hapa nimeliwa laki 3 sijui kodi najazia na nn na mwezi ndo ushaanzaKuhusu app za kufanyia analysis match kabla ya kubet na mbinu za kushinda mkuu wangu
Chukua 360 scores play store
Naiweza sana mkuu wangu nami nimeshapoteza laki 4 na nusu bila hurumaDogo inaonekana hela yako ya mawazo sana Bet hutaiweza hapa nimeliwa laki 3 sijui kodi najazia na nn na mwezi ndo ushaanza