Subiri dakika 90...usimvunje moyo mapema
GG ipo kweli leo?
Sioni goli mkuuMzee hapo mpe liver goli 2 afu tia draw.....nkumbuke kwenye ufalme wako ukila mazee
Sioni goli mkuu
Nataka nitupie cs 1-0
Opt hii ililetwa mapema Leo hapa hapa HAYA Jana ilikuwepo kanji aliliwa na mimiTupooooo
Nimeweka laki 3 (ya mkopo) kwa Monaco kushinda. Ili nipate laki 6 chap
HIIIIIIIOOO NDIOOOOO UEFAA ABHANA THX MESSIMESSI/SUAREZ TO SCORE ANYTM
SUAREZ BOOOOM
SUBIRIA MCHAWI AMALIZIE TIPS GOLI LA PILI
3 bila majibu hakuna cha GG wala nini mbabe wa England kachana mikeka ya watu balaa.Wale wanaosema liver atampiga Barca leo msisahau kuleta mrejesho saa sita msije mkajifanya mmelala baada ya mechi kuisha