Morris Mwema
Member
- Apr 30, 2019
- 14
- 8
Hahahahaha......Hatimaye nimemblock Pdidy!!!!!!
Mayu nawe ukizingua unafuata
Mbona 1xbet saivi sioni option ya kuweka hela na kutoa kwa njia ya mitandao yetu ya simu... eg, voda. tigo.. etc... hebu nipe msaada apoWale ndugu wenye 1xbet account kawekeni ela apoView attachment 1071557
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatimaye nimemblock Pdidy!!!!!!
Mayu nawe ukizingua unafuata
Hata Mimi nimefanikiwa kazi hiyo mapema leo.
Mkuu haya makitu unatakiwa unayapiga single unastake highAnananikimbia kimbia tu hataki kukaa View attachment 1087606
| Market | Odds | |
|---|---|---|
| HUDDERSFIELD TOWN vs MANCHESTER UNITED | ||
| 1X2:2 | 1.35 | |
| CHELSEA FC vs WATFORD FC | ||
| 1X2:1 | 1.36 | |
| ARSENAL FC vs Brighton & Hove Albion FC | ||
| 1X2:1 | 1.42 | |
| REAL MADRID vs Villarreal CF | ||
| 1X2:1 | 1.68 | |
| SSC NAPOLI vs CAGLIARI CALCIO | ||
| 1X2:1 | 1.27 | |
| Genoa FC vs AS ROMA | ||
| Over / Under:Over (1.5) | 1.26 | |
| APO LEVADEIAKOS FC vs AEK Athens FC | ||
| 1X2:2 | 1.20 | |
| ASTERAS TRIPOLIS vs Panionios Athens | ||
| 1X2:1 | 1.26 | |
| Willem II Tilburg vs Ajax Amsterdam | ||
| 1X2:2 | 1.24 | |
| CF Os Belenenses vs SPORTING CP | ||
| Over / Under:Over (1.5) | 1.23 | |
| Rangers FC vs HIBERNIAN FC | ||
| 1X2:1 | 1.44 | |
| FALKENBERGS FF vs MALMO FF | ||
| 1X2:2 | 1.36 | |
| FK PARTIZAN vs FK NAPREDAK KRUSEVAC | ||
| 1X2:1 | 1.20 | |
| FK CUKARICKI vs FK PROLETER NOVI SAD | ||
| 1X2:1 | 1.22 | |
| NK OLIMPIJA LJUBLJANA vs NK TRIGLAV KRANJ | ||
| 1X2:1 | 1.31 |
| Events: | 15 | Lines: | 1 |
| Stake | TZS |
Mchezo gani huu mkuu? Farasi au baiskeli?Australia
Frankston blues vs nw Tasmania thunder
HT over [84.5]✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅💥💥💥💥💥💥
Australia
Nunawading spectres vs Knox raiders
HT over [82.5]✅✅✅✅✅✅✅✅✅💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mkuu kulikoni tenaHatimaye nimemblock Pdidy!!!!!!
Mayu nawe ukizingua unafuata
Kako poa hako kanaitwa "1 Minute Event" mi huwa nacheza upande wa "Throw in not to occur" odds zake huwa zinaanzia 1.33 mpaka 1.8 ila mara nyingi huwa 1.5. Kana raha ukikuta game ya Barca mpira huwa hautoki we unapiga tu pesaHaka kamchezo ukikaotea katamu
Yani gemu ikianza tu unahesabu sekunde 60
Unakua umekula au umeliwaView attachment 1087834
NaaamKako poa hako kanaitwa "1 Minute Event" mi huwa nacheza upande wa "Throw in not to occur" odds zake huwa zinaanzia 1.33 mpaka 1.8 ila mara nyingi huwa 1.5. Kana raha ukikuta game ya Barca mpira huwa hautoki we unapiga tu pesa
Mpwa huku ulipofikia tutaanza kukuona hauna maana kabisa...Kuna muda najitahidi kuamini kua labda akaunti yako ime hackiwa ama umemuachia simu mwanao na ndio anafanya hii michezo
Nayeye Mrusi mjanja kuna muda katika baadhi ya game hakaweki, ama anakaweka makufuli tu. Maana kuna time unaweza kua na elfu 50 tu ila ukikomaa na hako ka option kama upepo uko vizuri dk 90 zikiisha unajikuta unampaka laki 6 hadi 7 dadekNaaam
Nakaotea sana kwa baca, arsenal na timu zinazo kaa sana na mpira
Kwa timu zipi??Nimeshatega hapa kwa 50K
Each team over 1 corners in each half
Odds 3.75
Daah nilikuwa siko hewan mzee mwenzangu naona imenipita hii
Iyo iyo game ya SpursKwa timu zipi??