Sasa hapo mkuu kuna vtu viwili wameandika Sasa sjui n ipi hapoKama unatumia voda nenda kwenye kulipa kwa m.pesa kuna makampuni ya kubet unachagua meridian unaweka tu namba yako ya akaunt kaz kwisha
Eti kuna uwezekano man city kumpiga leceister 4 bila? View attachment 1089628
Huwa najiulizaga sana nakosa majibuWakuu naomba msaada jinsi ya kudiposite kwenye betpawa. Kwa mpesa.
Weee mbona odd nyingi hivi?[emoji857]Man City v Leicester City
Vardy over one shot on target & Maguire over 2 tackles
Odds 14
Voda na Mybux wanafeli Sana...
Toka Mchana Buku Tano yangu hailetewa PIN ..
This time Mlipa kaja kitapeli zaidi ...
Tunapambana nae tu..
Chuma mbnman city huyu kwel… .?
Ipo hivi kama unadeposit 3000/-, hao m-lipa watakuletea SMS udeposit 3590/- hiyo 590 inakuwa kwa ajiri kutumia na unatakiwa ujaze hiyo pale unapodeposit, ukideposit 3000/- imekula kwako maana utakuwa umedeposit hela ambayo hawajakuruhusu kudeposit [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Voda na Mybux wanafeli Sana...
Toka Mchana Buku Tano yangu hailetewa PIN ..
This time Mlipa kaja kitapeli zaidi ...
Tunapambana nae tu..