PESA YA CHAIII JITWIKE UJIUNGE NA CHAMA.LA USHINDI
Unakosea wapi BroVoda na Mybux wanafeli Sana...
Toka Mchana Buku Tano yangu hailetewa PIN ..
This time Mlipa kaja kitapeli zaidi ...
Tunapambana nae tu..
Sawa Kaka, Hamna Noma.Unatuzingua naww kaa uko utulie tusha choka izo kelele
Sijakosea mahali , I followed all the steps concern. Naona labda voda ndo miyeyusho.Unakosea wapi Bro
Mbona mi Jana usiku nimetoa 123000
Baada ya game ya Mancity kama dakika 5 hivi
Pesa ikaingia.View attachment 1090112
Jaribu tena mkuu, mwanzoni hata Mimi nililipa ila sikuletewa voucher number nikasumbuana na Mlipa wakanirudishia hela yangu. Leo nimejaribu haijachukua hata dakika mbili namba nikapata na nikakamilisha kila kitu salio linasoma 1xbet. Mcheki huyu jamaa wa Mlipa 0758 460 813... Warudishe muamala then ulipie tena, ikiwezekana kwenye kulipia reference number andika zote kabisa ambazo zinaanzia 091mxxxxx.Sijakosea mahali , I followed all the steps concern. Naona labda voda ndo miyeyusho.View attachment 1090140
KAMA ULICHEZA USIKU ATUMWACHI MTU NYUMA ANGALIA SALIO1507 Primera B
Club Atletico Acassuso - Almirante Brown
1 1.37 DNB
1810 Copa de la Superliga
Velez Sarsfield - Atletico Lanus
X or Ov(1.5) 1.23
1512 Primera B Nacional, Promotion Playoffs
Gimnasia Y Esgrima Mendoza - Club Almagro
XorNG 1.23
Odd: 2+
Mkuu labda huja ielewa tu
Kati na ya kuanzi 1 hadi 80 zichaguliwe namba 20
Ukichagua namba zitakazotoka 20 odd ni 3.60
Ukichagua namba zisizotoka 60 odd ni 1.30
Kwa 24/12 odd ni 1.92 kwa no 12 zitakazo toka na odd 1.92 kwa zisizotoka
Kwa 10/3 odd ni 3.44 kwa zitakazotoka
Na odd 1.33 kwa zisizotoka
Makampuni yanayochezesha lottery hizi ni hayo hayo kwa kampuni zote za kamari
Swala la muda linategemea kampuni imeamua kuweka lottery ipi na kwa muda ganiView attachment 1081899
Angekaa hapo angeisoma namba shenziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiWeee mbona odd nyingi hivi?[emoji857]