MKILINDI
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 988
- 1,523
naona km hawafanyi kazi 1bet nataka kudeposit wanasema haipatikanSystem ya my bux haifanyi kazi kwangu kuweka na kutoa vipi kwenu ninyi?
naona km hawafanyi kazi 1bet nataka kudeposit wanasema haipatikanSystem ya my bux haifanyi kazi kwangu kuweka na kutoa vipi kwenu ninyi?
Hakuna kitu kama sure odds..ndo maana zikaitwa ODDS..kwenye betting NOTHING is CERTAIN. Unaweza poteza ata kwa ODDS za 1.001Jaman ni app gan inayotabir mechi vizuri mana nimechoka kuliwa pesa na muhindi kila siku nisaidien wakuu mwenye sure odds
Bet Analyser ni powa sana kama utapata time ya kutosha kuchambua game moja baada ya ingine.Jaman ni app gan inayotabir mechi vizuri mana nimechoka kuliwa pesa na muhindi kila siku nisaidien wakuu mwenye sure odds
Bet analyse zipo nyingi yenye icon ipi yafaaBet analysBet Analyser ni powa sana kama utapata time ya kutosha kuchambua game moja baada ya ingine.
Kufungwa ni lazima ila atapitaAkili yangu inakataa Baca kutoka na ushindi leo
Ama draw au ana lose
HiyoBet analyse zipo nyingi yenye icon ipi yafaa