Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hammarby kushinda full-time

Chindia targoviste kuongoza vipindi vyote (Romania league 2)

Johor darul wini 2-1 Malaysia league correct score



izo hapo wakuu nmeamua kuwapa tujaribu kama zitatoa beer mbili mnikumbuke matakao utupia mkeka
 
Wazee wenzangu naona kanjii anakiona cha moto aseeee......ebu nipen tip moja nishtue kidgo
 
Nipo mkuu sema ww ulipotega nilivyopotea mm na ww ukarudi.....mkuu nilipumzika kidgo maana nilikuwa nakula kidogo napigwa sana kila nikifurukuta za uso tu.....ikabdi nikumbuke msemo wa wahenga usemao bora ukimbie wakucheke kuliko ubaki wakuurumie....hivyo nakaamua nile likizo yahn
Weee jamaaa upo asee umepotea kinoma man!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…