avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,848
- 15,949
Kule makorokocho yalitiki ya milioni 8 ilkafia huko nikapakimbia kabisa sasa hivi nimerudi kampuni ya kizalendo Premier angalau ijapokuwa odd zao ni n gumu kidogo ukishinda waweza kutoa fedha na inatoka sekunde iliile uliyobonyezaMkongwe mzee wa matakataka bado najiuliza ni matakataka yale ulimpiga jamaa Mil8 1xbet ama? Maaana nilikuwa nayakubali matakataka yale lazima yalete pesa ndefuu...