details Odds
18/05/1902:00pm
Levante UD - Atletico Madrid
Football / Spain Primera Division
Double Chance - FT (12)
2-2 1.19
OK asante sanaHiyo Double Chance - FT (12) maana yake ashinde wa nyumbani au wa ugenini. Sasa hapo hakuna aliyeshinda hivyo ni LOST BET
OK asante sana
Mkuu umeweka (12) it means Levant au atletco mmoja ashnde uikosea brodetails Odds
18/05/1902:00pm
Levante UD - Atletico Madrid
Football / Spain Primera Division
Double Chance - FT (12)
2-2 1.19
1xbet,betpawa,parimachNaomba kampuni nzur ya kubet ambayo haikati kodi
1xbet,betpawa,parimach
tukia kaka. sio muda ote mtu anakuaga na simu. af by the way uyo internal kawatumia weng sidhan anaweza kukukunjia ww tu. jus calmJamani huyu Internal mbona tangu nimempa hela ya safaricom hapokei simu wala SMS hajibu.Naombeni msaada wa kumpata kama mlivyo niuganisha naye.Pia naona bado kuna wadau wanadirectiwa kwa Internal ilhali wengine bado hajawapa line.
Big up kiongozi, ujasiri km huo unafaa
tukia kaka. sio muda ote mtu anakuaga na simu. af by the way uyo internal kawatumia weng sidhan anaweza kukukunjia ww tu. jus calm
Jamani huyu Internal mbona tangu nimempa hela ya safaricom hapokei simu wala SMS hajibu.Naombeni msaada wa kumpata kama mlivyo niuganisha naye.Pia naona bado kuna wadau wanadirectiwa kwa Internal ilhali wengine bado hajawapa line.
Nakiri kosa mkuu.tukia kaka. sio muda ote mtu anakuaga na simu. af by the way uyo internal kawatumia weng sidhan anaweza kukukunjia ww tu. jus calm
Big up kiongozi, ujasiri km huo unafaa
Nakiri kosa mkuu.
Pia mm sipendi pia inaniuma mtu kutuma pesa na mzigo wake kutofika kwa wakati. Nilikuwa na line Iringa, nikitegemea nitakupostia ikiwa hapo.
Aliekuwa nayo badala nimtumie nauli yakuisafirisha, akanitumia pesa kuwa line imenunuliwa, nikatuma nyingine, bus nililokabidhi mzigo hawakufikisha sijui maana naambiwa mzigo haujafikishwa ofisini toka majuzi.
Siwezi kutapeli. Kesho narudisha pesa ili mzigo utakapokuwa tayari unitumie pesa ukiwa na line mkononi.
Nashindwa kupokea simu na kutoa ahadi za uongo maana mzigo umenipa changamoto ya kufaulisha magari mara mbili ili hali sina mtu wa kinipokelea mzigo iringa ili autume kwake.Internal nakuamini sana huna tabia ya utapeli hata mimi natumia safaricom ulinitumia bila shida, salute kwako naomba kijana awe na amani nawewe.
Kikapu nakielewa sana saiv mkuu....kinalipa inshort, nahic nilichelewa kukijua mapemaView attachment 1101458
Kikapu safi sana aisee!
Kikapu nakielewa sana saiv mkuu....kinalipa inshort, nahic nilichelewa kukijua mapema