The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Na hiyo ndy shida ya kikapuKikapu ukikielewa vizuri unaweza kupiga hela daily sema ukienda kichwa kichwa unaweza filisika haraka sana
Na hiyo ndy shida ya kikapuKikapu ukikielewa vizuri unaweza kupiga hela daily sema ukienda kichwa kichwa unaweza filisika haraka sana
Nakiri kosa mkuu.
Pia mm sipendi pia inaniuma mtu kutuma pesa na mzigo wake kutofika kwa wakati. Nilikuwa na line Iringa, nikitegemea nitakupostia ikiwa hapo.
Aliekuwa nayo badala nimtumie nauli yakuisafirisha, akanitumia pesa kuwa line imenunuliwa, nikatuma nyingine, bus nililokabidhi mzigo hawakufikisha sijui maana naambiwa mzigo haujafikishwa ofisini toka majuzi.
Siwezi kutapeli. Kesho narudisha pesa ili mzigo utakapokuwa tayari unitumie pesa ukiwa na line mkononi.
Kikapu ukikielewa vizuri unaweza kupiga hela daily sema ukienda kichwa kichwa unaweza filisika haraka sana
Internal mi npo mwanza kuna uwezekano wa kuipata hiyo line mapema iwezekanavyo? nambie naweza ipata kwa njia gani mkuu???
Mzee baba umetukimbia siku hizi kabisa kwenye sokaMwenyewe kikapu nmekielewa vzr ligi nyingi zinaingia kwny play offs, najuta sana kupoteza muda mwingi kwny soccer na daily nlikua naugulia maumivu tu, lkn toka nijikite kwny kikapu hakika daily lazima nifurahi kdgo especially ninapocheza na odds 2 had 3 ni uhakika mkuu.
Mkuu kwan ww huwa unatumia njia gani kuwithdraw 1xbet? maana niliona kama tayari unaitumia hyo kampuni
Bado nipo kiongoz japo my first choice ni kikapu kwa sasa, soccer saiv timu zinapigania kutoshuka daraja ukishangaa kdgo tu mara paaap kibonde anamkarisha kigogo, sasa hii presha mzee dingi duhMzee baba umetukimbia siku hizi kabisa kwenye soka
Sidhani ila wanaweza changanya team ya away wakaifanya home team. Na hii haijitokezi kila Mara na pengine no human errorWakuu hivi betpawa wanatabia ya kukuchanisha mkeka hata kama umeshinda
Tujaribu basketballView attachment 1100841