Awamu ya tano hali ngumu, wapigaji wa nakuwa wengihuyo ni muuza tips, sio laini, haaaaaa haaaa, alifikiri kapata mteja teh teh
Kuna making mengi tu yanaliwa kila Leo na hizo elfu 10 walishatoa.Hivi kama wewe una tips za uhakika, si utakuwa unapata hela nyingi
Hivi vi elfu kumi kumi vya watu vya nini...,
Mzee wa Makorokocho, Welcome ChiefView attachment 1102307MICROPHONE TEST
Game ya simba vp huko?
Mwakawaoooo mkuuSimba 2 Ndanda 0
Simba akishinda game yake ijayo atatangazwa mshindi