Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ee mnangu. sema kuna ile unabet 20k ili ule 40k asa baada ya tim kwenda vzr unaingia unakutana na sell 36k unasema ewaa apa kanji kashkika unaacha kusell. badae unaingia unakuta loss[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23] inaumaga iyoo asee
 
sema sell znasaidia sna kwa wny presha
Hahahah ndo maana nime uliza maana nataka nianze kutumia 1XBET effectivelly nasubir chip ya safaricom mwanangu mmoja iv anakuja nayo...ss nika jua Huko akuna Sell bet
 
PE
Screenshot_20190519-222204.png
SA MFUKON
 
Ntajitahidi maana siku nyingine najisahau nabet usiku sana karibia game za NBA zikiwa zinaanza, Sema pia mm huwa naweka timu moja tu kwenye kikapu na stake kubwa odds ninazocheza nazo ni kuanzia 1.5 - 2.1
Jitahidi Ukumbuke Kiongozi maana vipigo kwenye Futbal vimezidi sasa duh!
 
Ntajitahidi maana siku nyingine najisahau nabet usiku sana karibia game za NBA zikiwa zinaanza, Sema pia mm huwa naweka timu moja tu kwenye kikapu na stake kubwa odds ninazocheza nazo ni kuanzia 1.5 - 2.1
Mkuu futbal kila tukijikakamua hakuna kitu, hebu cheki hii
IMG_20190520_065438_154.JPG
IMG_20190520_065359_124.JPG
 
Samahani wakuu.
1xbet naamini ndio kampuni bora kwa betting lakini naomba kujua kama option ya "draw no bet" wanayo kwa maana sijawahi kuiona huko.
 
Today high probability of winning
Petrouli win
Rubin Kazan win
Kr Reykjavik
AIK win(serbia)
Psm Makasar win(Indonesia)
Molde win
Coban Imperial win
Lietava Jonava win
Dundalk win
Shamrock Rovers win
Add Midjayland over
Muwe na asubuh njema
Chagua odd unazotak stake wisely.
AIK ni Sweden Kiongozi sio Serbia
 
Back
Top Bottom