Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu futbal kila tukijikakamua hakuna kitu, hebu cheki hii
View attachment 1102670View attachment 1102671

Duuh noma sana sema naona kama unatafuta odds nyingi mno hvyo risk ya kukosa inakuwa kubwa zaidi, bora uweke timu chache upunguze risk mkuu,kwenye betting kuna siku mambo yanakuwa hayaendi fresh so huwa inatokea sema sio mara kwa mara kama unacheza single bet!
 
Pdidy Nimeahamua kum ignore ili nisimuone tena. Niko likizo natumia faida niliopata. Nitarudi final ya Europa na UCL kisha ntapumzika kusubiria AFCON
Naona unakula matunda mkongwe..Hongera sana
 
CODE: CX4PE
Screenshot_2019-05-20-11-10-08.jpeg
Screenshot_2019-05-20-11-10-14.jpeg
 
Mkongwe leo basket vip?
Leo mechi zipo za Kiaina xana mkuu, leo mwendo wa odds 2 tu ntatupia muda x mrefu tujaribu bahati. Nmejaribu kutega kwny tennis nione km ntapata kitu kwa leo
 
Mimi ku
kuna sku nlistake 15k baada ya mechi kufnya madudu naambia nisell kwa senti 89 hahaha
Mimi kuna siku nilistake 20, 000, ilikuwa inacheza swanswea city v man city, mpaka dakika ya 84 ubao ulikuwa 2-2, nikambilia kuuza mkeka na mrusi akaniaambia ananunua kwa 300 na sent kadhaa. Nikasema siuzi bora tu nife kiume, dakika ya 87 mara goaaaal city anaongoza. Kuna muda tunauzaga kwa woga tu.
 
Mimi ku

Mimi kuna siku nilistake 20, 000, ilikuwa inacheza swanswea city v man city, mpaka dakika ya 84 ubao ulikuwa 2-2, nikambilia kuuza mkeka na mrusi akaniaambia ananunua kwa 300 na sent kadhaa. Nikasema siuzi bora tu nife kiume, dakika ya 87 mara goaaaal city anaongoza. Kuna muda tunauzaga kwa woga tu.
Mkuu inategemea na situation ikoje

Unatengeneza mkeka wa game 10 unastake labda elf10

Uki win labda unapata 2m
Inabaki gemu moja unaambiwa sell kwa 1.3m

Hapo vp?

Mi nilisha wahi stake elf35 game moja Australia win ilikua 101,500

Hadi dakika ya 85 wànaongoza 3 bila, sell ilikua elf75

Nikapuuzia nikazima na simu
Kuja kuwasha 3 -3 dadeq

Sell inakuaga ndogo sana kama possibility ya wewe kuwin inakua ndogo na inapanda kwa kadiri possibility ya wewe kuwin
 
Unapotaka kuhamisha pesa kutoka safaricom Kenya kwenda mpesa tanzania unaandika kwa format gani? Mfano 0754844756 unaiandikaje?
 
Nisaidie pale ninapohamisha kutoka safaricom kuja mpesa naandikaje namba ni kama kamawaida au kuna fomati maalum
Line inafanya kazi tz nzima. Unatuma pesa kutoka M-Pesa tz unaipeleka M-Pesa Kenya then unaipandisha 1xbet. Rahisi sana. Kuna watu humu nimewauzia line za Safaricom lakini hawataki kuja kuwaambia wenzao jinsi ilivyo rahisi.

Wengine wanalalamika bei ni kubwa Mara Usafiri gharama, laiti mngejua mchakato wa kuitoa Kenya ulivyo mgumu msingeongea maneni ya kejeli.

Betting njema wadau tukutane kwenye play offs za NBA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom