Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wooon
Screenshot_2019-05-20-22-01-30.jpeg
 
Duuh noma sana sema naona kama unatafuta odds nyingi mno hvyo risk ya kukosa inakuwa kubwa zaidi, bora uweke timu chache upunguze risk mkuu,kwenye betting kuna siku mambo yanakuwa hayaendi fresh so huwa inatokea sema sio mara kwa mara kama unacheza single bet!
Dah huwezi amini kuna mara kadhaa tu napiga Odds 2 anarudisha so mwisho naona hakuna cha mana bora nijitungue tu na Kokolo lkn so mbay tutafika tu
 
Back
Top Bottom