Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Ndio huyo. Hiyo 168 ni baada ya kukatwa kodi.Sio yule wa 208m au huyu mwingine tena
Ndio huyo. Hiyo 168 ni baada ya kukatwa kodi.Sio yule wa 208m au huyu mwingine tena
[emoji23][emoji23][emoji23] kod mzigoo babaakeeNdio huyo. Hiyo 168 ni baada ya kukatwa kodi.
18%... Afu serekali inajifanya kuchukia kamari.[emoji23][emoji23][emoji23] kod mzigoo babaakee
Betpawa, Parmatch unapewa yoote bila kodiNdio huyo. Hiyo 168 ni baada ya kukatwa kodi.
[emoji27][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji47][emoji47][emoji47][emoji47]I can win 128K TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! https://www.betpawa.co.tz/share-7babb5d92
Hahahaha ndo kuzul ukoBetpawa, Parmatch unapewa yoote bila kodi
nimetoa mkuu, nimebakiza elfu 5 ya kenya, napamba na volleybal live hapa women, Poland vs ItalyNaona account imenona mzeebaa..zitoe acha mtaji tu,usipende kuacha pesa nyingi kwenye hizi kampuni unaweza amka kesho ukakuta kampuni haipo[emoji3][emoji3]
unaenda menu ya mpesa kenya, unaenda lipa na mpesa, utaingiza bussness number 255255, utaambiwa ingiza account number, utaandika 2557.............. namba lako la voda tzNisaidie pale ninapohamisha kutoka safaricom kuja mpesa naandikaje namba ni kama kamawaida au kuna fomati maalum
mrejesho gani mkuuWana zingua wangekuja kutoa mrejesho ...how it works maana watu wengi wana penda kutumia 1xbet na ni Site poa sana
BET WOOOON
Kanji aliko huko sijui ana hali ganiYa daku
Dah si ungenishirikisha mkuuYa daku
Kwann usizitupie humu ili kila MTU mwenye uhitaji aipate kuliko kukufwata pm ?Kama kuna mtu anaitaji app ya uwakika ya betting 1000% anicheki ila angalizo kwa siku inatoa odds 2.50 haizid hapo hii nazan inafaa kwa wale wenye mitaj mikubwa. Pia kwa wale wanaoitaji ht ft zipo, angalizo inatoa mechi 3 kwa siku moja au mbili lazima zitiki kila mechi inakuwa na odds 5 pia mara nyingi zinatik zote, na kwa wale wa correct score pia ninay app uwa inatoa pia inazngua ila haiwez pitisha siku mbili bila kutoa. Mwenye kuitaj anichek. NB: ukinichukulia poa ukizan me tapeli poa ukiuliz maswal yasio na vichwa poa
Unge post b4 inge pendeza ss usha ula boss una tutoa mate[emoji16][emoji16][emoji16]Ya daku