Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kama kuna mtu anaitaji app ya uwakika ya betting 1000% anicheki ila angalizo kwa siku inatoa odds 2.50 haizid hapo hii nazan inafaa kwa wale wenye mitaj mikubwa. Pia kwa wale wanaoitaji ht ft zipo, angalizo inatoa mechi 3 kwa siku moja au mbili lazima zitiki kila mechi inakuwa na odds 5 pia mara nyingi zinatik zote, na kwa wale wa correct score pia ninay app uwa inatoa pia inazngua ila haiwez pitisha siku mbili bila kutoa. Mwenye kuitaj anichek. NB: ukinichukulia poa ukizan me tapeli poa ukiuliz maswal yasio na vichwa poa
Sa mkuu hiyo app unaiuza au? Kama ina uhakika kwanini usitupie hapa kila mtu akanufaika?
 
Kama kuna mtu anaitaji app ya uwakika ya betting 1000% anicheki ila angalizo kwa siku inatoa odds 2.50 haizid hapo hii nazan inafaa kwa wale wenye mitaj mikubwa. Pia kwa wale wanaoitaji ht ft zipo, angalizo inatoa mechi 3 kwa siku moja au mbili lazima zitiki kila mechi inakuwa na odds 5 pia mara nyingi zinatik zote, na kwa wale wa correct score pia ninay app uwa inatoa pia inazngua ila haiwez pitisha siku mbili bila kutoa. Mwenye kuitaj anichek. NB: ukinichukulia poa ukizan me tapeli poa ukiuliz maswal yasio na vichwa poa

Kwanini usiiweke hapa mpaka watu wakufate huko?
 
Watu mnapenda kufatwa si uweke hapa after all inabaki kuwa prediction maana ingekua uhakika hiyo 2.5 odds ungeweka million daily una faida ya 1.5 usingehangaika kuomba kufatwa huko
 
Kama kuna mtu anaitaji app ya uwakika ya betting 1000% anicheki ila angalizo kwa siku inatoa odds 2.50 haizid hapo hii nazan inafaa kwa wale wenye mitaj mikubwa. Pia kwa wale wanaoitaji ht ft zipo, angalizo inatoa mechi 3 kwa siku moja au mbili lazima zitiki kila mechi inakuwa na odds 5 pia mara nyingi zinatik zote, na kwa wale wa correct score pia ninay app uwa inatoa pia inazngua ila haiwez pitisha siku mbili bila kutoa. Mwenye kuitaj anichek. NB: ukinichukulia poa ukizan me tapeli poa ukiuliz maswal yasio na vichwa poa
Huu ndio naitaga ujinga akufuate ili iweje
 
Kwanini usiiweke hapa mpaka watu wakufate huko?
kwani app ndio itaingia uwanjani kucheza ama ni watu halisi. Kama app ipo basi itumike kwenye virtual sports lakini mchezo unaochezwa na binadamu asikudanganye mtu mbinguni na duniani kuwa kuna app inayoweza kubadilisha real kuwa virtual
 
Kwann usizitupie humu ili kila MTU mwenye uhitaji aipate kuliko kukufwata pm ?
No sitoi free sabab at mimi nilinunua tena hela nyingi kwa mawazo yangu finyu nikajua ntakuwa napata odds at 20 za uwakika kumbe odds 2.50 ikizd san ni 3.10 haizid hapo kwa siku. Kuchan ni ngum san maan hat iyo odds 2.50 izo ni team 3. Me naona mizenguo2 odds mbil ndio nn ndio maan nasem kwa wat weny mitaj itawafaa ila silazmish mtu
 
Back
Top Bottom