Acha mbwembwe.. haya mambo tumeyazoea sana humu ndani, wewe sio wa kwanza, nakushauri ubadili strategy ili uonekane tofauti na waliokutangulia labda tunaweza kukuelewa kidogoSina chakusema kujiaminisha mimi ni mtu mwema wala kujiaminish nachosema namaanisha shida ya umu kla mtu mjuaji, stak watu million wal wat mia naitaj mtu mmoja tu tukishafik makubaliano nikampatia atakuj kulet mrejesh hum hum nazan ndio mtaelew namaanish nn
Ndio ndio..alete free kama 3 hivi...ataona wateja wakimfuata wenyewe kama zitawin hizo za freeAcha mbwembwe.. haya mambo tumeyazoea sana humu ndani, wewe sio wa kwanza, nakushauri ubadili strategy ili uonekane tofauti na waliokutangulia labda tunaweza kukuelewa kidogo
Mbuzi Kama Hawa ndio wanaharibu maaana ya huu uzi , wakati tunaanza tulienda vizuri sana naona Sasa watoto wame amia uzi waananza kuuza odd, hembu watoke humu. Kuna mtu alikua anatupa odd hapa Kila siku tunalaza laki sabini na ilikua bure kabisa hivi vinuka mkojo vimekuja na utapeli Sasa humu.Acha mbwembwe.. haya mambo tumeyazoea sana humu ndani, wewe sio wa kwanza, nakushauri ubadili strategy ili uonekane tofauti na waliokutangulia labda tunaweza kukuelewa kidogo
Kabisa mkuu.. wanasema kizuri kinajiuza chenyewe na sio kujitembeza[emoji3][emoji3][emoji3]Ndio ndio..alete free kama 3 hivi...ataona wateja wakimfuata wenyewe kama zitawin hizo za free
Yaani imekuwa shida tupu!Mbuzi Kama Hawa ndio wanaharibu maaana ya huu uzi , wakati tunaanza tulienda vizuri sana naona Sasa watoto wame amia uzi waananza kuuza odd, hembu watoke humu. Kuna mtu alikua anatupa odd hapa Kila siku tunalaza laki sabini na ilikua bure kabisa hivi vinuka mkojo vimekuja na utapeli Sasa humu.
Nimekujibu mkuu, muda ni mdogo mambo mengi
Hao ndio wale wanao taka kuonekana wao wajuaj wakati kuna watu kwenye huu uzi wako perfect wala hawana tabu Odds wana toa bule ss uyu mwenye app ndo daaah kutuma umu anaona tabu kama ana share kwa kanji....Mbuzi Kama Hawa ndio wanaharibu maaana ya huu uzi , wakati tunaanza tulienda vizuri sana naona Sasa watoto wame amia uzi waananza kuuza odd, hembu watoke humu. Kuna mtu alikua anatupa odd hapa Kila siku tunalaza laki sabini na ilikua bure kabisa hivi vinuka mkojo vimekuja na utapeli Sasa humu.
Halafu hawana hata mbinu za uscammer...Kabisa mkuu.. wanasema kizuri kinajiuza chenyewe na sio kujitembeza[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wa Tz tuna fel sanaHalafu hawana hata mbinu za uscammer...
Yan hakuna kitu tunachofanya kwa uweledi hata kimoja...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wa Tz tuna fel sana
Ngoja tufe wote
Hiyo ni safe 100%....Ngoja tufe wote
hakuna kitu kama hicho yaani ushinde bet afu wakuandikie lostTahadhari kwa wanaotumia premierbet...hivi karibuni wameanza tabia isiyo vumilika na hii siyo kwangu pekee kwani niliona watu wakilalamika humuhumu jf nikaona labda hayatanikuta sasa yamenikuta...tokea juzi betslip yangu inatakiwa iwe won but mpaka sasa status bado haijabadilika bado inasema bet placed...betslip yngu ilikua na timu 6 wakaweka 2 won izo nyingine bado hazijabadilika tokea juzi j3 nimewapigia simu tangia jana naambiwa busy na kwenye social media ndokabisa hawajibu chochote yani very poor customer care....jana tena nimeshinda bet ya timu 2 chaajabu imewekwa lost nanilibet option zakueleweka...so mnatakiwa mjiadhari nahawa wa2 coz ukichukulia poa sasa siku yakikukuta utaelewa
Ok ata mimi niliona malalamiko kama ayo na sikuamin but chamsingi omba yasikukutehakuna kitu kama hicho yaani ushinde bet afu wakuandikie lost