Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
Wamekuja wenzio kama wewe wengi kwa gia za kikolo kama zako, hapa haibiwi mtuNo sitoi free sabab at mimi nilinunua tena hela nyingi kwa mawazo yangu finyu nikajua ntakuwa napata odds at 20 za uwakika kumbe odds 2.50 ikizd san ni 3.10 haizid hapo kwa siku. Kuchan ni ngum san maan hat iyo odds 2.50 izo ni team 3. Me naona mizenguo2 odds mbil ndio nn ndio maan nasem kwa wat weny mitaj itawafaa ila silazmish mtu
Kwa taarafa yako tu tatizo la betting sio mtaji bali ni uhakika wa odd
Unajua ukiwa elf10 na ukawa na uhakika wa odd 2.5 kila siku baada ya siku 10 utakua na sh ngapi? Utakua na zaidi ya milion95, just for 10 days
Na ikiwa utakua na buku tu baada ya siku 10 utakua na zaidi ya milioni 9
Hizi ni ndogo kwako? Hizo ni odd mizinguo kwako?
Au mtaji mdogo una sent 5? Huku unajifanya umenunua app bei ghali
Mbona mnatufanya watu wapumbavu sana.....KAJIPANGE UPYA