Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Premier bet customer care mbovu nahisi wanaanza kufilisika na bet nao kimungumungu tu mana siku ya tano leo wamenizuia kutoa hela ila opt ya kuweka na kucheza ipo n sijavunja sharti lolote
Mimi pia nilizuiwa hela siku nne juz
 
uyo jamaa pimbi kweli. an anajifanya kulaum kisa odd 2 .haha anataka watu wajichomeke
 
Kiukweli jukwaa hili limeharibiwa mno
Nakumbuka akina Root
na wengine wengi walikuwa vinara hapa, kwa ustaarabu mkubwa

Post chache kwa siku!
Lakini Siku hizi ni shida
 
unashangaa,mbona huwa inatokea sana kwenye kampuni za kubeti au umeanza bettinga jana
Mi ilinitokeaga mwaka Jana. Nilibet goal keeper asiguse ndani ya sekunde 60, nikaenda kuangalia Moira bar, kwa macho yangu kabisa nikaona kagusa sekende ya 57, INA maana nilishuhudia bet ikiwa INA lost. Sasa nilikuwa na stress za kupigwa nikarudi nyumbani. Sasa nawasha laptop nikaona ile bet ni WON. Kipindi kile mobile payment bado zipo nikaitoa ile hela zaidi ya 40,000 na kurudi bar tena. Usiku narudi nishapiga maji, nakuta ile bet ni LOST halafu akaunti INA deni la ile stake ilikuwa kama 23,000 na msg juu kwamba inatakiwa ni-topup akaunt kulipia hiyo hela kwa sababu makosa yalifanyika. Wadau wakanishauri niachane na akaunti nifungue nyingine. Sasa kimbembe siku nataka kutoa hela, wakaniambie niwatumie ID ya taifa au passport. ID ya NIDA ninayo ila nilikuwa nishatumia kwenye akaunti inayodaiwa, nikawapa cha kura wakasema hawakitambui. Nikaamua niwape tu cha NIDA na mzigo ndio ukakatwa palepale na kameseji juu.
 
Demo
 

Attachments

  • IMG_20190523_113018_851.JPG
    45.2 KB · Views: 36
  • IMG_20190523_112953_763.JPG
    52.3 KB · Views: 38
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…