Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu hapa moshi napataje hiyo lain..?? Maana internal anasemekana mwizi kama waizi wengine..
Internal sio mwizi. Itakuwa kama kwlei hajafanikisha kuwatumia hela watu waliompa hela[emoji134]...Bhasi labda kabanwa, vyuma vitakuwa vimemfanya aone namna gani vipi[emoji134][emoji23][emoji119]...au atakuwa amepatwa na kishawishi[emoji23][emoji134]


Ila mimi alinitumia kabisa, ikanifikia.
 
Naona Siku hizi Pdidy unauza Tips![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]...kweli zama zimebadilika.
 
Mkuu Internal ni mwizi narudia huyu ni mwizi tunatakiwa kuto waelekeza wadau wenzetu kwa huyu mwizi utaonekana na WEWE ni miongoni mwa huyu mfarisayo.
Internal sio mwizi. Itakuwa kama kwlei hajafanikisha kuwatumia hela watu waliompa hela[emoji134]...Bhasi labda kabanwa, vyuma vitakuwa vimemfanya aone namna gani vipi[emoji134][emoji23][emoji119]...au atakuwa amepatwa na kishawishi[emoji23][emoji134]


Ila mimi alinitumia kabisa, ikanifikia.
 
Mkuu kuna akina Internal wangapi hapa jf? Ni Internal tu ndo mwizi aliye salia tuweke na namba zake hapa watu wamjue dawa ya mwovu ni kuanika uovu wake.
 
Naona Siku hizi Pdidy unauza Tips![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]...kweli zama zimebadilika.
Tena muuza tip ambaye matokeo yakibadilika anabadili na tip zake anakwambia ime win
 
Maisha yako speed Sana ....na alikua mkosoaji mkubwa Sana adi aliwatukana waliojaribu kufanya ivo
Naona Siku hizi Pdidy unauza Tips![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]...kweli zama zimebadilika.
 
Maisha yako speed Sana ....na alikua mkosoaji mkubwa Sana adi aliwatukana waliojaribu kufanya ivo
Hahhahaha...alisema anawakomesha, analeta tips hapa hapa...Hahhaa...yeye ndo nowadays anataka hela, anaweka na namba ya siku kabisa...hhahaha.

Kweli vyuma vimekaza.
 
Mkuu kuna akina Internal wangapi hapa jf? Ni Internal tu ndo mwizi aliye salia tuweke na namba zake hapa watu wamjue dawa ya mwovu ni kuanika uovu wake.
Kupata hizi line za safari com imekua mtihani mkuu usimuite mtu mwizi ilhali kuna watu alushawatumia humu line zikawafikia
 
Kupata hizi line za safari com imekua mtihani mkuu usimuite mtu mwizi ilhali kuna watu alushawatumia humu line zikawafikia
Mkuu huyu ni mwizi kama kuna changamoto kwa NINI wakati hajapewa pesa ukimpigia fasta amepokea baadaye ya kupewa hapokei simu wala kujibu sms karbia wiki mbili sasa lakini kuna jamaa nimempa hela tena ndani ya saa1 nikashangaa ametuma tiketi ya paseli kwangu kuonesha mzigo umesha tumwa.Hivyo Internal ni mwizi tu huyu.
 
Jamani navyosema Internal ni mwizi namaanisha ni mwizi.Nimefanya uchunguzi nimegundua ni mwizi.Namba zangu zipo mbili anazijua HIZI hapokei tangu alipolipwa hela.Lakini kwa siku tofauti na kwa nyakati mbalimbali nimetuma namba tofauti nikimwomba anifanyie mpango nipate safaricom anasemaje mzigo upon ndani ya muda Fulani kutegemeani na nilikomwambia nipo utakuwa umepata.Sasa wakuu hapa mtasemaje huyu Internal siyo mwizi? Haramu ni haramu tu.
 
Mkuu Internal tafadhali maliza hii tuhuma haraka, wakamalia adui yetu ni mmoja tu....Bookies
Watu wanataka hizi line lakini naogopa kiwa direct kwako, ulianza vizuri basi endelea vizuri na maliza vizuri

Haijalishi umepatwa mswahibu gani unayakiwa kutimiza kulingana na makibaliano
 
Tahadhari kwa wanaotumia premierbet...hivi karibuni wameanza tabia isiyo vumilika na hii siyo kwangu pekee kwani niliona watu wakilalamika humuhumu jf nikaona labda hayatanikuta sasa yamenikuta...tokea juzi betslip yangu inatakiwa iwe won but mpaka sasa status bado haijabadilika bado inasema bet placed...betslip yngu ilikua na timu 6 wakaweka 2 won izo nyingine bado hazijabadilika tokea juzi j3 nimewapigia simu tangia jana naambiwa busy na kwenye social media ndokabisa hawajibu chochote yani very poor customer care....jana tena nimeshinda bet ya timu 2 chaajabu imewekwa lost nanilibet option zakueleweka...so mnatakiwa mjiadhari nahawa wa2 coz ukichukulia poa sasa siku yakikukuta utaelewa
Kijana Wangu Alishindi 22,000 Before Hawaja Update Mtandao Wao.

Sasa Kila Akijaribu Kulogin "Manyoya" Amewatafuta Weee Mpaka Kaamua Kuachana Nao
 
Tumia Kichwa Chako Tu!
Acha Kuwa Mvivu Wa Kutafuta Data.

Ukitaka Angalia Picha Ya Mwisho, Ina Mdau Wa Hizo Point Tatu! Jiunge Nae Maana Mpaka Contacts Zipo...
Thank Me Later!!!!
IMG-20190521-WA0037.jpeg
Screenshot_20190521-202103.jpeg
Screenshot_20190521-194555.jpeg
 
Back
Top Bottom