Rostema
JF-Expert Member
- Nov 27, 2018
- 2,926
- 9,495
Hawana usumbufu hata kidogo labda itokeee Mara chache sana.Hivi bet pawa hawasumbui kwenye malipo kweli
Hawana usumbufu hata kidogo labda itokeee Mara chache sana.Hivi bet pawa hawasumbui kwenye malipo kweli
Mzee steve naona kumekuchaa[emoji23][emoji23][emoji23]Odds 2 ila pamoja na bonus ukitia 10k inakuja 40kView attachment 1105730
Duh! Poa mkuuYote yanaruhusu lkn sio online , mpaka uende Betshop zao
Halafu issue ilikuwa simple tu! Jamaa kama alikuwa hajafanikisha mzigo angemrudishia hela yake! Wakati mwingine ni bora kufanya hivyo ili kuondoa sintofahamu na kulinda jina lako!Mkuu Internal tafadhali maliza hii tuhuma haraka, wakamalia adui yetu ni mmoja tu....Bookies
Watu wanataka hizi line lakini naogopa kiwa direct kwako, ulianza vizuri basi endelea vizuri na maliza vizuri
Haijalishi umepatwa mswahibu gani unayakiwa kutimiza kulingana na makibaliano
Labda huko kwenu. Huku kwetu bad michoshoniwe mkweli, laini yangu ya Safaricom niliichukua kwa Internal bila hata figisu.
tuhuma hizi zingine nashindwa kuzielewa.
By the way, MyBux wamerejea nimeona.View attachment 1106331
Tena muuza tip ambaye matokeo yakibadilika anabadili na tip zake anakwambia ime win
Jaman mm nipo musoma sas natama niwamalizie tatizo sugu la lain za safalcom nitawaonyesha picha yangu na pia nitapiga picha yangu nikiwa na lain za safalicom za kutosha ndo tufanye biashara ya weupe
Watanzani wezangu ni waoga mno,Jaman mm nipo musoma sas natama niwamalizie tatizo sugu la lain za safalcom nitawaonyesha picha yangu na pia nitapiga picha yangu nikiwa na lain za safalicom za kutosha ndo tufanye biashara ya weupe
Nitawapa huduma hiyo kwa bei nafuu tulieni kesho kutwa majibu yatakua tayal na nitawajuza nina lain ngapInauzwa bei gan huko