Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Halafu issue ilikuwa simple tu! Jamaa kama alikuwa hajafanikisha mzigo angemrudishia hela yake! Wakati mwingine ni bora kufanya hivyo ili kuondoa sintofahamu na kulinda jina lako!
 
Wadau naomba kujua na kupata maelezo ya kina juu ya hii option katika basketball *over/under first half*
[/IMG]
 
Jaman mm nipo musoma sas natama niwamalizie tatizo sugu la lain za safalcom nitawaonyesha picha yangu na pia nitapiga picha yangu nikiwa na lain za safalicom za kutosha ndo tufanye biashara ya weupe
 
Inauzwa bei gan huko
Jaman mm nipo musoma sas natama niwamalizie tatizo sugu la lain za safalcom nitawaonyesha picha yangu na pia nitapiga picha yangu nikiwa na lain za safalicom za kutosha ndo tufanye biashara ya weupe
 
Psm Makassar win
Ludogorets win
Slovan(slovakia) Win
IF Gnistan(Finland )win or Over
Beskitas win or Over
Brisbane win or over(sorry for lating)
Ask Ebreichsdorf win or over
Bate Borisov win
Bray wanderers win
Shelbourne win
Stenungsunds(sweden) win
DAC 1904 (Slovakia) win
Dundalk win
Noerresundby(Denmark) win or over
IFK Haninge BRB win or over
Vaenersborgs over
koldingB(denmark) Over or BTTS
Sc Neusiedl (Germany) Over or GG
Nimes Over or GG
paide linnameeskond(Estonia)Win
Naesby(Denmark)Win or over
Wiener Sk win
Goodluck select odd unazotaka stake wisely.
 
Jaman mm nipo musoma sas natama niwamalizie tatizo sugu la lain za safalcom nitawaonyesha picha yangu na pia nitapiga picha yangu nikiwa na lain za safalicom za kutosha ndo tufanye biashara ya weupe
Watanzani wezangu ni waoga mno,
Mimi niliwaonea huruma baada ya kuona wanapata shida kuweka pesa kwa 1xbet lkn wote waliogopa eti watatapeliwa , haki nilikuwa na nia kubwa ya kuwasaidia kwa uaminifu mkubwa lkn nimeona ni waoga mno , walio kuja PM yangu sijui Mungu akiwapa Neema ya kununua magari wataishia kununua magari used tu maana hawana roho ya kutuma mamilioni online huko Japan ili waletewe gari. Daaaaah! Yaaani nilisikitika sana .

Hata wewe unayesema utatuma picha zako sidhani kama watakuelewa kwa uoga wao .

Uoga wako ndio umasikini wako
 
Last seen ya Internal ni saa 1:58PM na last post ipo kweny Thread ya "Naitaji hii kitu" saa 1:57PM leo.....hivyo huyu ni kama vile tamaa imemshika, akaamua kufanya utapeli wa kukusudia....ni juz tu kajitokeza kujibu hoja....ila haaminiki tena kuanzia saiv!! Uaminifu ni Tunu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…