Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu si umesikia ya Internal lakini?
Tatizo liko pande zote mbili ndio maana hatuaminiani
 
Tukitaka tuaminiane kwanza atafutwe huyu mwizi Internal aje hapa ajitetee KWANI ni asinyongwe kwa kuwatapela watu kwa kutumia jukwaa his LA jf.Jf yenye umaarufu wa aina take.
Sio watu wote ni matapeli mkuu
 
Tukitaka tuaminiane kwanza atafutwe huyu mwizi Internal aje hapa ajitetee KWANI ni asinyongwe kwa kuwatapela watu kwa kutumia jukwaa his LA jf.Jf yenye umaarufu wa aina take.
Unataka anyongwe [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uweke na kitambulisho chako cha uraia
Jaman mm nipo musoma sas natama niwamalizie tatizo sugu la lain za safalcom nitawaonyesha picha yangu na pia nitapiga picha yangu nikiwa na lain za safalicom za kutosha ndo tufanye biashara ya weupe
 
Habari wakuu nimefungua group WhatsApp la kushare tips odds mbili tu kwa siku anayeweza njoo pm nikuunganishe.
 
Hela hizo
 

Attachments

  • Screenshot_20190524-174138.png
    40.2 KB · Views: 38
  • Screenshot_20190524-172631.png
    59.6 KB · Views: 40
  • Screenshot_20190524-105845.png
    48.3 KB · Views: 39
  • Screenshot_20190524-090157.png
    43.7 KB · Views: 40
Ukitaka kupata line ya safaricom kwa urahisi zaidi na kama iko mbali na muhusika hakikisha unakuwa na mtu ambae unafahamiana nae na unamuamini ndio umkabidhi pesa aende kwa muuzaji wa hizo line akununulie vinginevyo mtaendelea kupigwa sana na matepeli.
Kuweni makini sana wakuu.
 
Hilo ndowazo nililofrikilia Mimi mkuu manaa nilishapigwa 15000 hivihivi yapata miezi 3 toka mamboya Safaricom.yaanze saivi nimepumzika tuu na kampuni za kibongo basi nimekata tamaa na safaricom.tuliongea nae kwenye simu vizuri tuu ila baadaye alikata mawasiliano na mie baadaya kumtumia hela
 
Huyu ni Internal tu maana ndo mbinu anazo tumia akipatikana atahukumiwa kifo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…