Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Rennes vs lille....home win to nil--NO@ 1.13
nice vs monaco...away win to nil_NO@ 1.25
Angers vs st etiene...home win to nil_NO@ 1.16
TOTAL ODDS 1.63
Kwa wale wa odds chache
 
Rennes vs lille....home win to nil--NO@ 1.13
nice vs monaco...away win to nil_NO@ 1.25
Angers vs st etiene...home win to nil_NO@ 1.16
TOTAL ODDS 1.63
Kwa wale wa odds chache
home win to nil. NO
Ili uwin matokeo yanatakiwaje ?
 
Aisee pole sana Mkuu Mimi nilimtuma mtu akaenda akapewa line ndio ikawa salama yangu. Lakini mambo ya kumtumia mtu pesa ambae simfaham nilipiga marifuku kabisa. Na huwa sipendi kusikia habari hizo kabisa.
 
A

Ata Mimi nitafanya hivyo ikibidi nikaifate mwenyewe
 
Wazee wenzangu, promo code ndo nini? Kujiunga na 1xbet kuna sehemu ya kuweka promo code niwekeje? Na je kufungua kwa namba ya simu au email ipi iko bomba?
 
Mbona Internal alisaidia wengi humu
Inakuaje Mkuu?
Aisee pole sana Mkuu Mimi nilimtuma mtu akaenda akapewa line ndio ikawa salama yangu. Lakini mambo ya kumtumia mtu pesa ambae simfaham nilipiga marifuku kabisa. Na huwa sipendi kusikia habari hizo kabisa.
 
Msaada Wa hii app mkuu
Brother ukiwa na mawazo ya app utapigwa sana. Hii michezo ni watu halisi wanacheza na tusifikiri ni sawa na computer games ama virtual sports kama ile ya mafarasi, mbwa na soka lisilo halisi hiyo mjanja anaweza kutengeneza app kutokana na kuusoma mzunguko. Lakini michezo wanayocheza binadamu ni ya kubahatisha ama unachambua mwenyewe ila lolote laweza kutokea. Huo ni unashiri wangu tuu sijategemea chombo chochote wala mtu yoyote na nipo tayari kuliwa 10,000/= yangu niliyoiweka kwani nilishaifuta akilini tangu nilipoipost.
 
Yes
 
Huyu Internal kajipotezea uaminifu mm nilikua na shida ya Laini ya safaricom b4 sija poteza cm kuna mtu nili wasiliana nae na si mmoja wana nishaur nisije ingia kwa uyu Internal more than two weeks now aja watumia Laini sio kitu kumpiga mtu 15k au 10k kwanza sote watafutaj wanaume sio kila hisi mshkaj wako ana hustle anapata anakuamin una mtapel GOD GONNA FOR THOSE walio fanyiwa ivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…