Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tuache maneno mengi tufanye Kazi ya kumuadhibu muhindi....tushirikiane kwa pamoja ili kuingiza pesa kupitia biashara hii ya betting.
 
ni kweli ungepata mtu unayemfahamu akakusajilia kwa ID yake ingekua poa, sema hta hiyo haina shida kivile
Yeah ni kweli, mfan mimi natumia laini ya ndugu yangu kabisa kwahyo sina wasiwasi na maswala mazima ya pesa zangu
 
Passport accetable ila no Mpesa nowdays
 
Wale wa 1xbet ueropa kesho medical team to enter in the pitch odds 1.25
 
Network ya Safaricom inashikaje Bongo labda nipo zangu Gamboshi kule inakamataje au ina interaction na minara ya Vodacom kisa wana undugu?
kijana google nenda u google ili neno ROAMING
kwa zaid ni kua ukiwa na line ya safaricom tz kwa suala la network ina weza roam kwenye mitando hii
vodacom
halotel na
tigo
popote bongo unapo pata mawasiliano ya hiyo mitandao basi na hiyo safaricom unapata network kupitia roaming service kwa hyo mzee hatakama upo uko mabonde kuinama mtandao unasoma kama kawa
 
Wakamaria inawezekana swali hili hamjaliona naomba lijibiwe litufaidishe 'na wengine
 
Mkuu Moyes, ndio maana nikasema huenda maswali yangu yasiwe na kichwa wala miguu.

Mwaka uliopita nilikuwa Congo karibu mwaka mzima katika kutimiza majukumu yetu cha kushangaza kule kuna Vodacom na tena ndio Mtandao mkubwa na mpana sana DRC ila sikuwa napata network wala hakuna chochote kingine nilichokuwa nikikipata kwa SIMU WALA PC.

Siku ya kurudi wakati tunafika nyarugusu tu mambo yakaanza kujipa napata network
 
Kweli aisee mkuu ngoja nijitahidi niipate hiyo line ila kuna mdau hapo Etoo43 kasema anazo ila anauza kwa watu wa Dar moshi tu ss sijui nani mwingine anazo
Msinione mbaya kuwauzia watu wa Dar na Moshi tu, hii ni kwa sababu sipendi biashara ya kutumiana pesa, watu wa Dar mtakuja wenyewe na pesa yako mkononi, unatoa pesa unavhukua line. Watu wa Moshi pia vivyo hivyo. Nategemea kufungua kituo makambako kwa watu wa kusini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…