HhhhhMsinione mbaya kuwauzia watu wa Dar na Moshi tu, hii ni kwa sababu sipendi biashara ya kutumiana pesa, watu wa Dar mtakuja wenyewe na pesa yako mkononi, unatoa pesa unavhukua line. Watu wa Moshi pia vivyo hivyo. Nategemea kufungua kituo makambako kwa watu wa kusini.
Daah magoli nzuri sema odd ndogo xana live kubetBet Kwa live BETTING ... MAGOLI ... OVER 1.5 ..... HALF WITH MORE GOAL 2H .......... double chance 12 ... Pia zingatia na Muda zile dk 90 .... Cheza Kwa kuangalia muda
Magoli sawa ila GG kuna ligi nyngn hazitoi kbxaaMkuu kubet kuna njia zake ila mimi napendelea sana kucheza over 2.5 au both score.
Magoli sawa ila GG kuna ligi nyngn hazitoi kbxaa
Magoli sawa ila GG kuna ligi nyngn hazitoi kbxaa
Daah magoli nzuri sema odd ndogo xana live kubet
Duuu watu mna option!!!!!
Yaani hapa mkuu umeniacha hebu fafanua vizuri, wengine ndo tunataka kujiingiza kwenye hii issueBet Kwa live BETTING ... MAGOLI ... OVER 1.5 ..... HALF WITH MORE GOAL 2H .......... double chance 12 ... Pia zingatia na Muda zile dk 90 .... Cheza Kwa kuangalia muda
ziko poa hizoWale wazee wa single 1xbet
Nime pick single 22 tayari
Nachambua tena nipate single 10 za ku stake
Chagua zinazokufaa
Stake wisely
NB
Samahani kwa watakao kwazika maana nimezimwaga kama Pdidy View attachment 1111210View attachment 1111212View attachment 1111213View attachment 1111215View attachment 1111216View attachment 1111219View attachment 1111223View attachment 1111225View attachment 1111228View attachment 1111229View attachment 1111230View attachment 1111231
Yaani hapa mkuu umeniacha hebu fafanua vizuri, wengine ndo tunataka kujiingiza kwenye hii issue
Bet Kwa live BETTING ... MAGOLI ... OVER 1.5 ..... HALF WITH MORE GOAL 2H .......... double chance 12 ... Pia zingatia na Muda zile dk 90 .... Cheza Kwa kuangalia muda
mkuu samahani, under ina maana gani kwenye betting?
Fungueni hizo attachment muangalieUkicheza goal over 1.5 maana yake Dk 90 ... Magoli yapatinane mawili ... Umeshinda below of 1.5 goal umeliwa ! .... Nikusema Half with more goal ... Kipindi chenye magoli mengi ... Half time ya kwanza au Second half time ? ... Mara nyingi magoli yanapatikana kipindi cha pili ... Mfano 1H ... Goal likapatina moja .. sasa inabidi 2H goal zipatiane kuanzia na 2 ndo ushinde otherwise umeliwa !!
Double chance 12 maana yake ... FT team 1 ishinde au Team2 ishinde ... Wakitoka draw umeliwa
Kuna double chance ya 1X ,X2 maana yake Ukichagua 1X ni Team 1 ishinde au itoke draw umeshinda !! Team 2 akishinda umeliwa ... Hivyohivo na X2
mkuu samahani, under ina maana gani kwenye betting?