Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pole chunga kauli siku ingine.. Sio kila mtu ni m'babaishaji.. Wengine wanajielewa na wanajua nin wanachofanya.. Naamini Etoo ni mwelewa sana na ameshakusamehe..
 
Dah! Uliongea bad mkuu
 
....!!!
 
Uungana wa hali ya juu
 
Wakuu kutoa mpunga kwa safaricom njia ya mobile payment haipo......naanza kupata waswas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…