Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu habari zenu jamani,Mi naomba kuuliza kwa wenye uzoefu na hizi kampuni za betting za nje.

Nilikuwa nikitafuta kampuni ya kizungu ya kubetia hasa zile kubwakubwa tunazozionaga katika ligi ya Uingereza kama kina Bet365,Williamhill,BetFair,Lardbrokes n.k n.k lakini nyingi nilipokuwa nikijaribu kuanza registration process zinanijibu hazitoi huduma ktk nchi yangu sasa nikabahatika kukutana na 888sports nikasajili ikakubali na sasa nina akaunti huko,Sasa maswali yangu ni haya kwa ambaye ana uelewa na haya makampuni.

Je ufanisi wa kampuni hii ukoje?(Uaminifu+Uwezo wake kulipa wateja wake)
Suala la deposits na withdraws nataka nipambane tu kusoma ila km kuna mwenye kujua anaweza toa mawazo ila nataka nitumie mastercard yangu ya NMB
NAJUA KUNA WATAOULIZA KILICHONINYIMA PESA KTK KAMPUNI ZA KIBONGO NINI MPAKA NIKIMBILIE HUKO jibu aina ila najaribu kubadili upepo tu maana game ikikukataa unajipindua kusaka malisho mazuri.

Nategemea kupata mawazo yenu.
 
mbona huweki mambo hadharan tukala wote
Mkuu mimi na bet live baskets tu nala ela yangu nabet kila quater and half ikiwezekana so katika kila mechi moja naweza kula mara sit yan 1q, second quater, 3rd na 4th na nabet each independly yani hata ziwe zacheza team ngap nachagua moja katika live ndo nabet ikiisha mechi au ikaenda break ndo naenda kwa nyingine. so kila baada ya quater ambayo ni dakika 10-12 mm nala au kila baada ya half
 
Tolea ifafanuzi with vivid example jinsi ya kubet basket ball kuna wengine hata iyo mambo ya quater wanakusikia wewe...
 
Tolea ifafanuzi with vivid example jinsi ya kubet basket ball kuna wengine hata iyo mambo ya quater wanakusikia wewe...
basketball inachezwa vipindi vinne yani dakika 10 au 12 ni quater moja 2 qauters ni half. so kila quter wanaender mapumzko dakika 2 na kila half wanaenda mapumziko dakika 15. kila quater inakuwa na options zote za over/under, win, moneyline n.k same to kila half. so instead ya kubet full match mimi na bet quater moja moja so mpaka match inaisha najkuwa nmekula mara 4
 
Unatumia bet app gani... Na kwenye betting wanatumia teminology gani kuspesify km hii ni quarter ya ngap
 
ukiclick hiyo golden state uta[ata hizi options
wakati mechi zinachezwa pawabet wako slow kuonyesha matokeo na pia hawaonyeshi wako quater ya ngapi wala dakika so unaweza tumia sofascore au flashscore unakuwa wachungulia kule kupata uelewa wa kufanya maamuzi maana wale wanakuwa wana update match wakati ikichezwa mfano wa sofa score kwa mechi zilizopita za golden state na huyo mpizani wa leo ni huu
upande wa juu kushoto hii mechi iliyopita lakini hata ikiwa live ndivyo inavyokuwa juu wanaonyesha score za kila team wakati chini hapo utaona wanakuwa wanajaza matokeo ya kila team inreal time wakati mechi yaendelea wanakuonyeshamuda.
Mimi sijawahi hata tazama mechi ya basket wwala mpira uwa na bet kwa kutumia taarifa za sofascore na flashscore mpira ul;inishindaa nimeahamia kwenye basket naona nakula kila siku nikibet mara 10 naweza lwa mara moja au mbnili au nisiliwe kabisa
 
leo nmecheza europa match zote 13 nmeweka tren nmemla mhindi,mkeka mmoja niliweka match10 mwingne match 12.....ni mda mref saaaana sjala ma train

Tatzo stake ndogo sasa,moja 5000 nyingne kama 1300.daah sema ndo hvyo,siku ukiweka mzigo unapigwa

Hii wanaita kengewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…