Hatar fayaleo nmecheza europa match zote 13 nmeweka tren nmemla mhindi,mkeka mmoja niliweka match10 mwingne match 12.....ni mda mref saaaana sjala ma train
Tatzo stake ndogo sasa,moja 5000 nyingne kama 1300.daah sema ndo hvyo,siku ukiweka mzigo unapigwa
Hii wanaita kengewa
Try thisView attachment 1xBet (1).apkWazee wakazi samahani mwenye app ya 1xbet naomba share maana naona yangu imezingua
Wamezingua sana hawa juzi tu wamepiga 233 leo hata 200 hawajafikaGSw Vs Toronto Raptors
total points over 210 incl OT
odds 1.58
daaaah we acha tu nilikwepa direct win kwa Toronto nika ona over itafaa ila ime kua vice versaWamezingua sana hawa juzi tu wamepiga 233 leo hata 200 hawajafika
direct win daaaaah8-06-2019
Tunaanza na mtaji wa Tshs 150,000/=
16:00 Iceland Vs Albania. 1. 1.65. X Tsh 50,000 =82,500
16:00 Croatia Vs Wakes 1. 1.59 X Tsh 50,000=79,500
11:30am Robredo T -Vavassori 1 1.51 X Tsh 50,000=75,500
Mategemeo ni kupata Tshs 237,500
Ambapo faida itakuwa Tshs 87,500
Tukutane baada ya matokeo
Wakuu..iv ukitoa hela parimatch inachukua mda gani kuja kwenye mpesa
Haipo tena kwaniWazee wakazi samahani mwenye app ya 1xbet naomba share maana naona yangu imezingua