Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Angalieni alichofanya
 
Beti kama hivi
Weka dau Dogo unakula ndogo na kubwa vile vile. Huyo Bulgaria alionekana tu atachana.
 
Faida 900 inapendeza sio..!?
Faida ni 5000/-
Hapo nimetumia jero tu.
Na mkeka mwingine huo niliunganisha match za Jana na Leo. Za Jana zote nimepatia. Nasubiri za Leo zikipeleka napata million 1.2
 
Faida ni 5000/-
Hapo nimetumia jero tu.
Na mkeka mwingine huo niliunganisha match za Jana na Leo. Za Jana zote nimepatia. Nasubiri za Leo zikipeleka napata million 1.2
Nmekupata mkuu!
 
No, ni mechi za Jana na Leo. Hapo nazisubiri za Leo na hofu yangu ni kwa Wales na Turkey. Wakishinda hao nakula hilo dau
Mi mwenyewe nimecheza ila mi ya wiki, mi nimemwamini Hungary na Iceland ngoja tuone
 
Hiyo ya pili uliweka timu ngap
Niliweka zote za Jana isipokua Hungry ilokuchania ww, na za Leo isipokuwa Belarus vs Ireland hao nao hawatabiriki. Wales na Turkey wakikaza kesho nipe number yako PM nikurushie mtaji wa betting
 
Niliweka zote za Jana isipokua Hungry ilokuchania ww, na za Leo isipokuwa Belarus vs Ireland hao nao hawatabiriki. Wales na Turkey wakikaza kesho nipe number yako PM nikurushie mtaji wa betting

Niliweka zote za Jana isipokua belarus ilokuchania ww, na za Leo isipokuwa hungury vs hao nao hawatabiriki. Wales na Turkey wakikaza kesho nipe number yako PM nikurushie mtaji wa betting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…