Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ngumu kumeza

Kama una mtaji mdogo usifuate

50/50
 
Nataka nijilipue

Hawa wamama wa Nigeria watakosa bao moja second half?
 
Wanaweza kukosa, South Korea wanashambulia sana hivyo uwezekano wa kurudisha bao ni mkubwa, na game inaweza kuisha kwa droo ya 1-1.
Ni mtazamo wangu tuu.
Nimekusoma mkuu
Nimejilipua Nigeria clean sheet

Ngoja nibinye korodani bao lisipatikane
 
Wale wazee wa over game za madogo u19 zinatema magoli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…