Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wakuu tutoke vp na hii mechi ya Egypt na Tanzania?,maana naona Taifa Staz wana odds mlima
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Hata wakiwa na odds 5000 usiwajaribu hata kwa senti moja.

Nimempa Egypt ushindi kipindi cha kwanza.
 
Natafuta hela ya lunch
Screenshot_2019-06-13-11-44-50-1.jpeg
 
Hawa madogo 1h inawafaa under 0.5 au over 0.5?

Nasaka hela bia sasa
Screenshot_2019-06-13-17-18-06.jpeg
 
Basketball bado inanipa tabu timing zake
Ila ni tamu sana inplay
Screenshot_2019-06-13-17-28-36-1.jpeg
 
Back
Top Bottom