Mkuu nakelewa sanaDinner saved View attachment 1126597
Nikiona tips zako sijiuli mara mbilimbili natupia mzigo fasta
Uko na good predictions
Twende kazi mzee baba shusha tips
Mkuu nakelewa sanaDinner saved View attachment 1126597
Eeeh bwana nimesikia..lakini inaonekana wamegundua Kuna pesa nyingi Sana kwenye kamari...kwahiyo wameona Bora watengeneze mazingira bora ya kupata kodi yao..lakini na sisi wateja "tuliwe" kihalali.Serikali itakaa na bodi ya michezo ya kubahatisha, kuja na utaratibu utakaodhibiti ujanja ujanja kwenye michezo ya kubahatisha
Ukiwa 1xbet haya mambo haya kuhusuEeeh bwana nimesikia..lakini inaonekana wamegundua Kuna pesa nyingi Sana kwenye kamari...kwahiyo wameona Bora watengeneze mazingira bora ya kupata kodi yao..lakini na sisi wateja "tuliwe" kihalali.
Mkuu ni mwendo wa kubahatisha tuMkuu nakelewa sana
Nikiona tips zako sijiuli mara mbilimbili natupia mzigo fasta
Uko na good predictions
Twende kazi mzee baba shusha tips
Mnao angalia live game ya tz
Vp maoni hadi muda huu?
Vp tz wanashambulia?Naona Tanzania tumekaza kipindi Cha Kwanza..ngoja tuone Kama kutakua hakuna goli kabisa
Naona Tanzania tumekaza kipindi Cha Kwanza..ngoja tuone Kama kutakua hakuna goli kabisa
hahaaaa kitanyolewa tu.Kichwa cha mwendawazimu kinagoma kunyolewa. Mwendawazimu kaishakaa kwenye kiti sema kunyolewa ndio hataki. [emoji23][emoji23][emoji23]
Sidhani kama tutatoboaKichwa cha mwendawazimu kinagoma kunyolewa. Mwendawazimu kaishakaa kwenye kiti sema kunyolewa ndio hataki. [emoji23][emoji23][emoji23]
Handcap zimetoaTz over 0.5, Odd 2+
Tz handicap +3, Odd 1.45
Au Tz handicap +2, Odd 2+
BTT. Odd 2+
Mkuu cash out ni kuuza mkeka kabla game hazijaishaWatu wa Parimatch tusaidiane jinsi ya ku-cash out hapa
View attachment 1127284
Poa Poa mkuu nmekusoma, shukran!Mkuu cash out ni kuuza mkeka kabla game hazijaisha
Inategemea
Ukibofya hapo utapata kuona ni kiasi gani utapata kama ukiamua ku cash. Out