Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

In play
Screenshot_20190615-120258.jpeg
 
Wadau kuna yeyote aliyefanikiwa kutumia app ya Parimatch
M kwangu naipakua lkn inagoma kufunguka.
 
Mku
Odds 5.3 zimeokolewa kwenye chaki dk 1 kabla refa hajamaliza mchezo.

Mpango mkakati kuelekea new season.

Natenga mtaji wa 20K ambao wote ntakuwa nauweka km Stake kwa odds 2.5
1st round

20K × 2.5odds= 50K
50k × 2.5odds= 125k
125k × 2.5odds=312.5k
312.5k × 2.5odds=781.2k
781.2k × 2.5odds=1.9+m
1.9+m × 2.5odds=4.8+m

Hapo kuanzia hiyo round ya 3 sijajua km Parimatch watakuwa wanakubali kiwango gani cha mwisho cha stake.

Cha kukumbuka kuwa hizo rounds zote haziendi consecutively kuna siku mechi zikijificha ndani ya kabati basi naacha but target ni kufikisha hizo round 6 kisha nifanye evaluation kisha nilete mrejesho km inawezekana au la.

Nikifanikiwa kuvuka hii hatua kwa namna yoyote nitahamia kampuni za kikubwa za huko duniani hasa hawa 888sports ambao tayari nimeshajiunga nao maana naamini huko hata ukitaka kuweka stake ya dola 20k unaweza.

Tuombeane heri tu wakuu.

Bet Responsibly.
View attachment 1127665View attachment 1127666
Mkuu na kuombea heri ila sasa usisahau uchawi was kanji maana hiyo roundi 6 ndo kanji Ana Fanya take
 
Bahatisha hapo
 

Attachments

  • Screenshot_20190615-133307.png
    Screenshot_20190615-133307.png
    23.5 KB · Views: 40
  • Screenshot_20190615-133212.png
    Screenshot_20190615-133212.png
    20.6 KB · Views: 32
  • Screenshot_20190615-133307.png
    Screenshot_20190615-133307.png
    23.5 KB · Views: 33
Jagpot betpawa na sportpesa ipi aina longolongo mkuu?
Mkuu jackpot kiufupi haina fomla kusema eti ipo ya uhakika hyo hapana labda zinatofautiana pakubwa sana.
1.Jackpot ya betpawa wana timu 17 kwa dau la shillingi 100 tu kwa kila mkeka utakao usuka kupata million 200 na nilazima timu 17 zote uzichague ndo program inakuruhusu kuweka dau lako.Pia hawa betpawa wana hadi machaguo ya double chance (ukipenda) ila dau litaongezeka kadili utakavyochagua.

2.Sportpesa wao wana timi 13 tu kwa dau la shilling 2000 kupata million 700 na lazima timu zote uzichague ndo program ikuruhusu kuweka dau lako,hawana double chance katika machaguzi yao.

Wote wanatoa dawadi ukipata timu kadhaa mfano timu 13, 14, 15,16 kwa betpawa na 10,11,na 13 kwa sportpesa.

NB.Hakuna guarantee ya ushindi,cheza kwa akili na kubahatisha tusije raumiana.
 
Back
Top Bottom