Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu jackpot kiufupi haina fomla kusema eti ipo ya uhakika hyo hapana labda zinatofautiana pakubwa sana.Lakini kwa hawa wote hawana longolongo ukishinda unapewa chako ijapokuwa Mimi sikuwahi kushinda.
Utofauti wao huu hapa.

1.Jackpot ya betpawa wana timu 17 kwa dau la shillingi 100 tu kwa kila mkeka utakao usuka kupata million 200 na nilazima timu 17 zote uzichague ndo program inakuruhusu kuweka dau lako.Pia hawa betpawa wana hadi machaguo ya double chance (ukipenda) ila dau litaongezeka kadili utakavyochagua.

2.Sportpesa wao wana timi 13 tu kwa dau la shilling 2000 kupata million 700 na lazima timu zote uzichague ndo program ikuruhusu kuweka dau lako,hawana double chance katika machaguzi yao.

Wote wanatoa dawadi ukipata timu kadhaa mfano timu 13, 14, 15,16 kwa betpawa na 10,11,na 12 kwa sportpesa.

NB.Hakuna guarantee ya ushindi,cheza kwa akili na kubahatisha tusije laumiana.
 
Roll over Day 1
IMG-20190615-WA0032.jpeg
 
Don't try this at home!

Utakapofika 100-300 ndipo zitakapopukutikia ogopa sana kuchezea bankroll yote.
Hahahaha eti dont try this at home.

Mkuu ni kweli kuna stage zinaweza kupukutika but as a trial nataka kuona mwisho wake utakuwaje.

Nature ya nafsi ya kibinaadamu kufeel machungu hata kwa kitu kisichokuwa chako ndicho kinacotutesa mfano

Mtu ukiweka 20k kisha ukashinda round 3 kisha ukaitoa 20K yako ukaiweka pembeni ukaendelea na kazi ukafika let say 800k halafu mhindi akapita nayo aisee unajikuta unaumia kinoma wakati sio hela yako yako ushaitoa na kuila ila na ya kanji nayo inakuuma nashangaa mbona zilw Jackpot tunaona mizigo mikubwa lakini haituumi au kwa kuwa hatujaicheza???

Dah anyway ngoja tuone itakavyokuwa.
 
kinachouma ni muda kwenda bure na matumaini chanya unayokuwa umeyaweka na hata bajet inakuwa ushaipanga
 
Mkuu Ukipata Muda Naomba UnipeShule Kidogo Ya Handcap Kweny Basketball!
Hasa Hapa Kwenye Mfano: Handicap 2 (23.4)
Au Handicap 1 (12.5)
Naomba Na Minus Na Plus Uelezee Kama Utapata Muda.
Handcap kwa lugha nyepesi ni
1. Kuipa team ya nyumbani/ ugenini point/vikapu kwenye basket or magoli/goli kwenye football ( inawakilishwa na alama chanya, +) au

2. Kuinyang'anya team ya nyumbani/ ugenini vikapu/point kwenye basket au magoli kwenye mpira wa miguu ( alama yake ni hasi -)

Sasa basi ukiona team imepewa handcap ya home +23 (2) maana ake unaiongezea timu ya nyumban point 23 baada ya matokea halisi ya mechi lakini mshindi atakiwa ni team ya ugenini ndio maana ya hiyo (2)
Chukulia huo mfano halafu utafsiri kwa maana tofaut kwa mfano
Handcap home -23 (2)
Handcap away +23 (1)
Handcap away -23 (1)
 
Asante sana boss
 
Hahahaha eti dont try this at home.

Mkuu ni kweli kuna stage zinaweza kupukutika but as a trial nataka kuona mwisho wake utakuwaje.

Nature ya nafsi ya kibinaadamu kufeel machungu hata kwa kitu kisichokuwa chako ndicho kinacotutesa mfano

Mtu ukiweka 20k kisha ukashinda round 3 kisha ukaitoa 20K yako ukaiweka pembeni ukaendelea na kazi ukafika let say 800k halafu mhindi akapita nayo aisee unajikuta unaumia kinoma wakati sio hela yako yako ushaitoa na kuila ila na ya kanji nayo inakuuma nashangaa mbona zilw Jackpot tunaona mizigo mikubwa lakini haituumi au kwa kuwa hatujaicheza???

Dah anyway ngoja tuone itakavyokuwa.
Mkuu sitaki kabisa kuisikia hii kitu inatwa roll over.......sikushauri kabisaa
Imeniliza mara tatu mtawalia

Labda ukianza vizuri kisha badili mfumo usiweke mkwanja wote sababu huu ni ubashiri na sio must win

Hakuna kitu inauma kama uko round 5 then gafla bin vuu una ziro balance
 
Back
Top Bottom