Principle no1 ya kubet ni kujua kwa ufasaha option unayoenda kuweka pesa yako.wakuu game ya paraguay vs quatar nilibet kwa option ya ht/ft(1/2)
matokeo full time walitoka 2:2, ambapo 1st half walitoka 1:0, sec half wakatoka 1:2 na mchezo ukaisha kwa 2:2ft
cha ajabu nimepewa lost, je ni makosa yao ki ufundi au wamenidhurumu au matokeo yako sawa?
mwenye uelewa tafadhali anifafanulie. nimejaribu wapigia betpawa lakini hawapokei sim
ningeunganisha na scrnshot but kila nikipandisha picha inagoma.
option ya kingese period! hii single bet ilikuwa na odd 67Second half mshindi ni Away team but nani mshindi wa game hiyo?..Mechi imeisha kwa draw ilitakiwa labda mechi iishe away team amzidi magoli home team.Mf. 2:3,2:4,2:5,2:6.......Hapo ndo mkeka utakuwa WON
Wakuu maana ya DNB 1 au 2 au H au A maana yake nini?
Hapa wadau mechi ya Botafogo (Brazil) imekua postponed, mechi zingine zote zimetick, msaada naona bet ipo PENDING RESULTS hadi sasa hivi, inakuaje hapo?
Kama unahitaji hiyo line njoo inboxMkuu laini ya safaricom inauzwa bei gani
Kama unahitaji hiyo line njoo inbox
Nimekufata hta hujibu chochote
Saa ngapi hiiTWENDE NA 2 0DDS
Iceland - Urvalsdeild
Stjarnan Gardabae - Breidablik Kopavogur
Over(2.5)
1.60
USA - US Open Cup
Houston Dynamo - Minnesota Utd
1 DNB (1 Draw No Bet)
1.28
TOTAL ODDS: 2.05
EH(Either Half)Hyo EH maana yake nn wakuu kuna mtu ameniulza nimeshindwa kumjibuView attachment 1130903
Nashukur mkuuEH(Either Half)
Xhanks mkuu ni nzuri hii aiseeDNB hicho ni kifupi, kirefu chake ni (Draw No Bet) Maana yake ni kwamba, ili ushinde ni Lazima timu uliyoichagua ishinde aidha 1/2 ila kama itatoa suluhu basi utarudishiwa pesa yake uliyoiweka/stake. 1/2 tafisiri yake ni timu ya nyumaban 1 na timu ya ugenini 2. Kuhusu H kifupi cha Home/timu ya nyumaban na A ni kifupi cha Away/ timu ya ugenini.