Lost
Option. Gani huwa unatumia maana naona uko vizuri kwenye kutengeneza odd 22odds ya 1bet haina 20perc. Mdogomdogo... Hii n Kwa wajanja tu
wataweza gundua
Match hazizidi tano. Over 0.5 na win directly y'all wazi.. Kama Tz na Senegal unaweka uzalendo pembenOption. Gani huwa unatumia maana naona uko vizuri kwenye kutengeneza odd 2
sura ya kazi hiyo mzee baba!!!Ivi huku kuna mtu alishakuja na ushahidi wa kushinda bet ,10-100milion?kampuni yeyote ya bet.
I mean kuanzia milioni kumi had mia.Akatupia Mkeka alioshindaView attachment 1137504
leave sasa over 0.5 match y'all Ivory Coast imepewa 1.74Match hazizidi tano. Over 0.5 na win directly y'all wazi.. Kama Tz na Senegal unaweka uzalendo pemben
Hivi ndo tunakwendagaleave sasa over 0.5 match y'all Ivory Coast imepewa 1.74
hizo ni nchi zinazoshiriki hayo mashindano, mwaka unakaribia kukata sasa toka wameondoa hizo mobile pymt na huenda hawana tena mpango huoNawaona 1xbet wakiwa wadhamin wa AFCON na Bendera yetu imeongezeka katika Nchi ambazo 1xbet wamefika so nadhani ni swala la muda tuu na tutapata njia sahii ya kuweka pesa zenu bila bitcoin wala safaricom
huu leo hauchaniki