Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa hiyo mzee Abas Tarimba anafanya kazi Sportpesa na bodi ya michezo ya kubahatisha? Ninachojua mm alishaacha kazi kule ndio akaajiriwa Sportpesa. Huwez kufanya kazi sehemu mbili tofauti lazima kutakuwa na conflict of interest
 
Wakuu msaada hapa hvi hii imejaaje mbona odds kubwa sana au sammer league hawa jamaa wanzngua

Hapo kwenye total hapo over
 
Attachments

  • Screenshot_20190701-121612.jpeg
    44.3 KB · Views: 30
Huyu ni abbas tarimba nini!?
 
Mkuu hii sio kweli Mlipa nao wahuni tu kama wahuni wengine
Abasi Tarimba alisha ondoka huko kitambo yupo SportPesa now

Mlipa na njia yao ya Mybux ilikua ni njia ya kihuni isiyo rasmi

Ili 1xbet ipate kibali cha kufanya transactions tunazozitaka inatakiwa wafungue ofisi Tanzania na wasajili kampuni yao hapa Tz na wawe na dot.tz, hela zote zinatakiwa kukaa kwenye acc ya hapa Tz na sio ziende Urusi na sheria zingine kibao ambazo 1xbet walichemka wenyewe

1xbet ni kampuni nzuri sana ila wana mambo ya kihuni sana pindi ukiwapiga hela ya maana
Sasa kwa sheria zetu zilivyobana 1xbet haiwezi masharti yetu
 
Mimi 1xbet tangu system za kuweka kwa mitandao ya simu kuzingua niliamua kujipa likizo kidogo..

Sasa nimerudi tena kwenye kampun yangu pendwa, sasa hiv naweka pesa kupitia Skrill.
Samahani sana mkuu, naomba unieleze ulivyofanya mpaka kuweza kuweka hela kwenye akaunti yako ya 1xbet kwa kutumia skrill, naomba unielewe ukiishajisajili kwenye skrill unafanyaje kuweza kuweka hela kwenye skrill then uhamishe kwenye 1xbet akaunti
 
Ukiwa kwenye account yako ya skrill nenda hao kwenye deposit then itakuwa window ya kuweka card namba zako, ili uweze kudeposit
 
N rahisi sana kwanza umeshafungua account ya Skrill?
Samahani sana mkuu, naomba unieleze ulivyofanya mpaka kuweza kuweka hela kwenye akaunti yako ya 1xbet kwa kutumia skrill, naomba unielewe ukiishajisajili kwenye skrill unafanyaje kuweza kuweka hela kwenye skrill then uhamishe kwenye 1xbet akaunti
 
Ulitaka kudeposit utaanzaia kwenye account yako ya 1xbet kwenye option ya kuweka pesa, chagua skrill, then itakupeleka kwenye option ya kuandika e-mail na password yako uliyotumia kufungulia Skrill account, uta login na kuandika kiasi unachotaka kuweka then basi mpunga una reflect kwenye 1xbet
Ukiwa kwenye account yako ya skrill nenda hao kwenye deposit then itakuwa window ya kuweka card namba zako, ili uweze kudepositView attachment 1143938View attachment 1143939
 
Jombas kwa mnaotumia 1xbet hebu nijuzeni kidogo niliplace bet slip yangu iliyokuwa imekamilika kwa choices zangu but sasa hv nikiangalia kwenye bet history nakuta hapo kwa Dundalk hakuna chaguo ila odds zipo km nilivyokuwa nimechagua sasa hapa nahofia baada ya mkeka kuwin km safari itakuwa salama hawa jamaa hawawezi kunibambikia option nyingine na kuonyesha kuwa mkeka umwlost?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…