kamanga2016
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 657
- 503
Leta mambo.. mimi leo nina wasiwasi mwingi.AFCON
Wasiwasi gani, Tanzania anakufa mapema. Mpe Algeria over 0.5Leta mambo.. mimi leo nina wasiwasi mwingi.
Poa mkuuWasiwasi gani, Tanzania anakufa mapema. Mpe Algeria over 0.5
Mpaka sasa tushapigwa tatu kipindi cha kwanzaWasiwasi gani, Tanzania anakufa mapema. Mpe Algeria over 0.5
Nimempa algeria over 2.5 na over over 3.5 nasubili mzigo utemeMpaka sasa tushapigwa tatu kipindi cha kwanza
Kwa waoga tayari imeitikaInside info...Tanzania vs Algeria...over 3.5-odds 4.....wwe muoga weka over 2.5-odds 2.27,,,
Namna hii tunamchanganya sana Mungu aiseeTayari over 2.5 imetema naisubili over 3.5 algeriaView attachment 1144233
asante fundi..ukiwa unajua huvuki hatua fulani basi unajibetia..mnapga helaa hahahaaaaKwa waoga tayari imeitika
Wenye roho ngumu tunasubiri goli moja tu
Aaaaah hii inaitwa kufungwa twafungwa lakini SUPU twanywa.Namna hii tunamchanganya sana Mungu aisee
Kenya vp huko?!Senegal over 0.5
Aiseeee...TUKUTANE KWA WAKALASenegal over 0.5
Acha kabisa mkuuAfcon pesa tupu aisee..