Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Shamrock Rovers WIN... Odds 1.48 its half time now.. second half ikianza subiri odds zipande then tia mzigo.
Usiku mwema!
 
Jamani bado mnabet tu????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] sio lazima kubet kila siku wakuuu.. hata kama ndo njia ya kujiingizia kipato utapigwaa mpaka uchakaee..
 
hii mechi dundalk na derry city sitokuja kuhisahau kwamwe..nimempa dundalk ashinde normal, kaja kushinda jioni dk 92 uyu mpumbavu derry city kaja kuchomoa dakika ya 95...daah nimekosa million 2.5 ndani ya dakika 3..
Hii kazi ngumu. Juzi nimekosa laki 7 ndani ya sekunde 20. Niliweka mkeka wenye timu 6 zote zikiwa direct win, maana nilituliza akili na kujilidhisha hawa jamaa ushindi lazima na odds zilikuwa zimenona kwa kila timu.

Timu 5 zote zilitiki mapema tu, ikibaki moja ile niliyoichagua ishinde mpaka dk ya 90+2 timu inaongoza bao moja bila, imebaki sekunde tu game liishe, ******* wakaruhusu bao... Daah, kwanza sikuamini japo sio mara moja kutokea hivyo ila niliumia sana yaani nilikuwa nimepanga kulipa madeni yote ninayodaiwa ********!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa madeni yako pale pale plus stress...
 
Jamani bado mnabet tu????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] sio lazima kubet kila siku wakuuu.. hata kama ndo njia ya kujiingizia kipato utapigwaa mpaka uchakaee..
ww umeacha?
 
China NBL Kila Ijumaa saa 8 Mchana
Australia QBL
Australia QBL w
Australia NBL 1
Australia NBL 1 w
Australia Big V
Australia Big V w
Australia SBL
Australia SBL w
Philippines PBL
Philippines MBPL

Hizi ndio ligi nacheza kwenye basket

Ni ligi zitoazo point nyingi sana
 
Wadau tujaribu hizi ligi japo zinapatikana 1xbet kwa sana

Hizi ligi ni nzuri na zipo kuanzia Ijumaa hadi Jpli

China NBL
Australia QBL
Australia QBL w
Australia NBL 1
Australia NBL 1 w
Australia Big V
Australia Big V w
Australia SBL
Australia SBL w
Philippines PBL
Philippines MBPL

Hizi ndio ligi nacheza kwenye basket

Ni ligi zitoazo point nyingi sana
 
Back
Top Bottom