Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Haya ni maajabu...macho yako yanaona Kama Mimi...? Nani amesema South Africa hawaendi robo fainali...? Ila tuache utani mikeka imechanika...
 
Haya ni maajabu...macho yako yanaona Kama Mimi...? Nani amesema South Africa hawaendi robo fainali...? Ila tuache utani mikeka imechanika...
Mkuu ni kutatuka si umechanika, half time nikaamua kuturbo mkeka nikapunguza stake nikaweka odd zikiwa 2+ daah sijaamini
 
#CopaAmerica2019: #Argentina imeibuka mshindi wa tatu katika michuano hiyo baada ya kuifunga #Chile goli 2-1‬
‪- Katika mchezo huo, Lionel Messi wa Argentina na Gary Medel wa Chile walipewa kadi nyekundu‬
‪- Mchezo wa Fainali utafanyika kesho kati ya #Brazil na #Peru‬ mida ya saa 5 za usiku kwa saa za Afrika Mashariki
 
Kazi ngumu san hii
Haya ni maajabu...macho yako yanaona Kama Mimi...? Nani amesema South Africa hawaendi robo fainali...? Ila tuache utani mikeka imechanika...
TWENDE NA 2 ODDS

Africa Cup of Nations

Egypt - South Africa

Home Win LOST

1.58

Sweden Allsvenskan
Malmo FF - Orebro
Home Win
1.28 WON

TOTAL ODDS: 2.02 LOST
 
Back
Top Bottom