Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Umenena ukweli mkuu.
ushawahi kuchana mkeka katika option unayoiamini if yes hupashwi kukosoa mkeka wa mtu mwingine.

katika huu mchezo hakuna option ya uhakika hata ukicheza 10 minutes results
 
Wazee Vip Peru Leo I think Brazil Inakaa Leo Au ....?

Mana kuna odd kama 15 ivi single bet unaondoka na 75 ukiweka buku tano
 
ushawahi kuchana mkeka katika option unayoiamini if yes hupashwi kukosoa mkeka wa mtu mwingine.

katika huu mchezo hakuna option ya uhakika hata ukicheza 10 minutes results
Mkuu sijakosoa mkeka wako
Pole kama umadhania hivyo

Nimejaribu tu kutoa opinion yangu na mitihani ilionikuta

Ndio maana inaitwa kubahatisha vinginevyo ningekua bilionea kama ni mjuvi wa kubet hadi kukosa wenzangu

Naamini mkeka huo asilimia zaidi ya 80 ya wakamalia wanaona ulivoona kulingana na ubora wa timu
 
Wazee Vip Peru Leo I think Brazil Inakaa Leo Au ....?

Mana kuna odd kama 15 ivi single bet unaondoka na 75 ukiweka buku tano
Chance ni ndogo mnoo kwa Peru.. 2+ or 3+ ni option nzuri zaidi, usikimbilie ODD kubwa bali angalia the most possible outcome among available options.
 
Madagascar yes
Algeria yes
Odds 6.97
Natia 10,000 mrejesho SAA sita usiku.
 
U7RNG
IMG_20190707_193451_135.jpeg
 
terrible day again
wanangu kama inawezekana tuacheni tu kubeti
maumivu daily
 
Wanangu Algeria ndo Mwarabu pekee wa kufanya nae kazi wengine wote ni mbwaa!!dah wananipoza machungu japo kwa hel za maandazi
 
Back
Top Bottom